How I was conned by a mzungu lady

WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO MKUU.
 
Utapeli wa kizamani!
Aina hii ya utapeli kwa hapa bongo karibu itapitwa na wakati.
Ilikuwa siku za nyuma, kwa sasa Ni ngumu kidogo mtu atume pesa kirahisi hivyo kwa mtu asiyemfahamu kabisa.
 
Haya matukio yapo, mwezi wa 4 nilipokea simu ya Mwanamke wa kizungu kuwa anahitaji Kama 60,000 ili alipie custom pale dar wamezingua. Kwa sababu huyu Mzungu tulikutana kwenye safari moja nilikuwa ninasafiri na tulikaa siti moja. Kwa hiyo katika kupiga story akawa amechukua namba yangu. Ilikuwa imepita muda Kama miezi 5 ndio akanipigia simu ili niweze kumsaidia bila hiyana nikamtumia zile pesa halafu baadae tena akahitaji tena 40,000 ili akifika anapopenda atanirefund so Mimi kujiaaminisha ngozi nyeupe hizi basi Yule Dada alifika na kila nikimpigia simu anitumie mshiko simu ilikuwa busy message hapokei. Kila siku Mpaka nikakata tamaa. Maana sehemu anayokwa sipajui Ila daah nikipata funzo.
 
Kwa Wazungu sio Wakora? Au ulitaka refund ya namna nyingine? Angalia jina la simu mtafute mitandao ya kijamii kama nambari ya simu ni local utampata. Njoo nikusaidie ukikwama. Kama hayo maongezi yalikua kwa sauti sio meseji.
 
Sorry bro.
But again, you were looking way too forward to selling your car to get the money and I bet that is what was your weakness - Greed. Remember "Only greedy people get conned".
 
If at all this is authentic, pole zake sana, afadhali katapeliwa hela tu, uzima wake kaachiwa.

Kuna siku moja nilienda ofisini kwa mshua, kulikiwa na issue nafuatilia, kukawa na watu wengi wanasubiri kuingia kuonana naye.

Wale watu walikuwa kama wamekaa kimstari hivi, kifoleni. Akaja mzungu mmoja. Sekretari wa mshua akampitisha mzungu mara moja ili aruke wengine wote waliosubiri aende kuongea na mshua moja kwa moja.

Sasa kumbe mshua alikuwa kawaona wageni wote waliokuwa wanamsubiri, akawa anategemea mtu tofauti kufuatia. Mara akaona mzungu kaingia.

Baadaye nikamsikia mshua anamgombeza sekretari kwamba aliwaruka wageni wa maana akampitisha yule mzungu tapeli tu, kwamba asione mzungu akafikiri kila mzungu ni mfanyabiashara wa maana, wengine matapeli tu.

Nikaona Waafrika wengi tukishaona mzungu, hususan akiwa kavaa suti, tunakuwa wepesi kughafilika.
 
Wewe ni buoyancy kweli
 
Very sorry to you, mara ya kwanza sio mbaya ila mara ya pili utakuwa uzembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…