How I almost secured a job in 10 minutes !!!

*Nimejifunza mkuu japo bado nipo Form 6*
Nita-socialize[emoji109][emoji109][emoji109]
 
Kwa huu uandishi tu hata huhitaji kusoma hadithi nzima, na hata aliekupa kazi ana matatizo ya akili.
 
Jifunze kuandika, unaweka nukta nyingi Kama mtoto anatambaaa
 
Jifunze kuandika, unaweka nukta nyingi Kama mtoto anatambaaa

Sawa mkuu....ila ukupaswa kumalizia hiyo statement ya mtoto anatambaa.....na wewe jifunze kukosoa wenzako kwa kuwajenga.....na sio kwa vijitusi vya kukela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…