umeulizwa swali class au unataka ujifunze tu?
Kwasababu italeta fastest network faida hizi tutapata.
-easy and fast communication: hii itatokana na speed network mfano vikao vitakua vinafanyika kwa video calling na sio kuchoma hela za mafuta gari na kulipia guest
-mashuleni na vyuoni: ufundishaji, material vitaongezeka ufanisi
-internet itakua cheap.
-internet ikiwa cheap kutakua na ongezeko la websites, na it sector kwa ujumla