How Europe under-developed Africa

How Europe under-developed Africa

Well put.Thank you for sharing.By the way, is Tanzania not amongst the countries which their minerals make the world go around? I mean, much as Tanzania is not listed, is the country free from this exploitation which under-develop Africa per the statistics shown in the article?
 
hii kitu nilisoma primary school.
harafu wanajifanya kutupa misaada kwa masharti ili wazidi kutuibia.
tutazidi kuibiwa milele sababu kila kitu tuna import
 
hii kitu inanikumbusha A level. History ilikua tamu sana. Europe did contribute undervelopment of Africa then and to date the practice is still in progress through puppets leaders who value most their family well beings rather than national interests.
 
Wenzetu Uganda walipogundua iron kwao walikataa kata kata kuisafirisha nje badala yake waliwaambia jamaa wa nje wajenge kiwanda cha processing ndani. Wakaleta visingizio kibao kuwa hamna soko Mu7 akakomaa akawaambia hakitoki kitu. Matokeo yake wenyewe wameamua kuinvest Uganda sasa wanai process hapo hapo. Chuma ni ghali sana na ni malighafi kubwa sana inayotoka most parts of Africa ina feed viwanda vya nje.
Hapa kwetu ndo kwaanzaaa jamaa akihaidiwa mjazo kwenye bakuli laomba omba anawaambie waje wachukue tu. Benefits goes to the first family kwanza then mtanzania wa mbagala na kigurunyembe mwishoniiiiiiiiiii.
Mda uliobaki unahesabika. Ngoja tuone
 
Hapa kwetu tunaendelea kunyonywa....nimeenda mgodi wa Nyamongo....Mara Goldmine....wamechimba mashimo.....wananchi wamejenga juu ya ardhi chini ya kuna mashimo...wazungu wanaokota gold wanarusha kwa ndege kwenda Canada na South Africa
 
Back
Top Bottom