Habari zenu wakuu, nilikuwa naomba mnijulishe ni jinsi gani mtu anaweza akautreat ugonjwa wa Social Anxiety Disorder coz nina mdogo wangu ambaye I think anao coz dogo ana aibu ile mbaya hadi inafikia point anaogopa oppposite sex(females), so naomba mnisaidie coz nasikia huu ugonjwa unaweza ukastimulate mawazo ya kujiua.Help me, I still like my brother.