How do you survive being single

Easy only ukiwa mtu wa ibada,makundi mazuri ya marafiki,kujiamini kwamba yupo mtu kwa ajili yako atakuja muda wowote tena aliyesahihi ndani ya mpango wa Mungu yan very easy.
 
Easy!

Adopt a motto to go by your daily life. (Mine is 'All I do is win, win, win, no matter what, got money on mind I can never get enough'.)

Stay busy, stay focused, work hard, play hard(er).

You do that and you will have little time for any other bullshit.
 
Kuwa busy na unachokifanya, Tumia muda wa kuspend na marafiki wale wa stori sanaaa ,ukiwa na visent kula bata saanaaa na marafiki, usiwaze/kuzifikiria hbr mapenzi tho unaweza ukapiga stor tu, charting, kama ni mzururaji zurura saaaanaaaa...Yani ukirudi hooooii we ni usingizi siku zinazidi songa...
ONYO; Usiruhusu kuhisi upweke,utaharibu kila kitu.
Muombe Mungu sana akuepushe hata na hizo za MastB,
 
Mi nilivyokuwa single it was about "I love me". So I used to treat myself... body and soul( praying, remembering my blessings and b thankful).
body wise... I did what I liked...swimming, gym, walking in the evening, whatever that made me happy. It was about me hakuna cha uko wapi... and I could flirt and shortlist and interview lol then if the right candidate appeared I would put him on probation before confirming the position lol! I had me time aisee... I miss those days. Enjoy while u can
 
Wanateseka hao!!! Halafu wanajifariji kweli kweli"
 
Hehehe nyie mnaosimamia kuwa busy,genye ina ubusy??
 
Mimi nimeamua kuwa single mwenyewe kwa kupenda kabisa.
Ninaweza sababu hata nikiwa na mtu akasafiri hata miaka 2 sichepuki mpk anarudi.
Ninasali japo huwa nafanya hivi miaka yote, nina marafiki ambao wako nami, nina furaha na ninachokifanya.
Ninajipenda na nafanya vile vitu navyovipenda, sioni kuna upungufu wowote na miezi inaenda.
Nitakapohitaji kuwa na mtu nitaangalia mmoja katika list ndefu ya wanaonisubiri hahaaaahahaaaaa
 
kusema ukweli ni ngum sana,ila inategemea na sehem ulipo kama mim npo mazngira ya chuo,sometyme napata wakati mgum sana pale unapowaona marafik zako wote wanawapenz wao we huna ni ful stress kuwa single jaman
 



sa ndo unafanyaje kuepukana nahiyo hali??
 
Easy only ukiwa mtu wa ibada,makundi mazuri ya marafiki,kujiamini kwamba yupo mtu kwa ajili yako atakuja muda wowote tena aliyesahihi ndani ya mpango wa Mungu yan very easy.



Asante sana
 

thank you,nimekupata
 

yeah! thas good,it seems u somehow u enjoyed that...mi nimeanza kufanya mazoezi,nikitoka job naenda gym nifika home nakuwa nimechoka sana ,inanisaidia
 

mh! Okeeey.
 

daaa umenikumbusha mbali hapo kwenye blu lagoon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…