Usikurupuke kumfuata jamaa,je kama demu anakurusha roho? Unawezakuta demu anajua kuwa huyo rafikiyo anammezea so anakurusha roho!
Anatafuta attention yaani "take care of me or I can be taken...."Au anataka kukutenganisha na rafikiyo kwa sababu zake binafsi!
Unaweza kuja kuharibu mpaka ujione mjinga. Kuwa mvumilivu,kuwa na subira, chunguza mpaka upate ushahidi, then make decision! Pole.

Mkuu,
Jana niligombana nae, na nikawa namuuliza kwann napodhamiria kumfuata jamaa, yy ananiambia niachane nae, kwa maana hata nikimfuata haitofaa kitu, anasema, kama angetaka kutembea na mshikaji hata sasa angetembea nae, jana kaniambia" jamaa alianza kitambo kumfuata, so kama angekuwa anataka angekuwa nae, au angeshatembeaga nae siku nyingi...
Haya maneno upande mmoja yalinipoza, ila on the other hand yakazalisha maswali na hisia za kudharaulika' Mkuu kauli ya hata sasa angetaka angetembea nae" hii kwangu naona ni dharau... Yaan niliitafsri kwamba, Ananiambia nitulie, niache fujo, kwa maana kama angetaka, asingeshindwa...
Upande mwingine nikahisi, next time hatoniambia tena..
Sasa which is which????
Ndio maana nikauliza, ww ungefanya nn?
Mapenzi kazini si mazuri... ufanisi hupungua sana. Muoe huyo mwanamke then mwachishe au wewe acha kazi hapo.
Ila, akili kichwani, kwa majibu yake ya siku za karibuni, rafiki yako ameshapewa uroda.
Dah! Ngoja nimfuate jamaa kwao P.u.m.b.a.v.u. Zake.
Mkuu,
anasema, kama angetaka kutembea na mshikaji hata sasa angetembea nae, so kama angekuwa anataka angekuwa nae, au angeshatembeaga nae siku nyingi...
Acha kumdanganya mwenzio wewe, kurushana Roho gani huko?!!
Kama anamrusha roho kwa kiwango kikubwa hiki then hafai.
Sio kumdanganya
mkuu,akili za wadada wengine wanazijua wao wenyewe!! Hapo kwenye red
nakubaliana nawe.
khaaaaa!!! mie siwezi mjibu hivyo mpz wangu jamani, huyo hana adabu kwako na inaonyesha anaujua udhaifu wako kwake so ni kama kakuweka kwenye viganja vyake, anafanya atakavyo, na hata maelezo yako yanaonyesha ni kwa namna gani haujiamini, wewe hapo chunguza tu lazima kuna cha ziada, sasa we endelea kukaa ukimuuliza na kutuuliza huku utavuna unachokipanda.
hahahha or "who needs a heart wen a heart can be broken":violin::drum:With friends like these, who needs an enemy?
Huyo dem anamu`entertain jamaa ako... either they`r flirting or ukim`boa yy ndo kimbilio... watch their and your moves.Wana MMU Habari Zenu.
Kuna rafiki yangu Mmoja tunafanya kazi Ofisi Moja, na ikatokea wote tukawa tumempenda Msichana Moja. Mwanzoni kwakuwa wote hatukuwa tumempata yule binti tuliwahi kulizungumza hili lakin ilikuwa kiutani na kiurahisi sana. Mambo si Mambo yule binti akanikubali Mimi na nipo nae kwenye mahusiano mpaka sasa.
Hivi karibun kanifuata akaniamboa kuwa mshkaji amekuwa akimchombeza chombeza kuwa ana Mpenda sana, japo huyo mshikaji wangu anafahamu fika kuwa yule binti ni Mpenzi wangu, lakini nyuma ya Pazia amekuwa mara ana mshika kiuno huku akimtamkia kuwa hata yeye anampenda na anaomba wakutane.
Haya Mambo aliniambia Huyu mchumba wangu mwenyewe.. Lakin akaniomba nisimwambie. Nikaushe, kwamva jamaa atachoka mwenyewe.Mimi kidogo nimekuwa napata shida kuvumilia, japo sijamwambia lolote mshikaji na tunafanya kazi Ofisi moja.
Kila mara napotaka kumfuata jamaa kistaarabu nimuombe aache kumsumbua mchumba, Mchumba ananiambia Niache, kwamba sasa jamaa ameacha kumsumbua.
Kwangu kitendo cha rafiki yangu kumtaka girlfriend wangu nakichukulia ni dharau, na kwa kukaa kimya kwangu, jamaa anajua kuwa mchumba hajaniambia kitu or else ningeshamfuata, kitendo kinachomfanya aendelee kumsumbua Mchumba.
Naomba mniambie, kama ungekuwa in My Position, what would you do?
Naona dharau, halafu mchumba nae sometimes niki raise hii ishu ananijibu kwa ukali kuwa, alishaniambia nisimfuate, mara nikimfuata ndio itakuwaje, yaani naona na majibu yake nayo ni ya kibabe.
Hebu nisikie wewe unge handle vipi hii situation?
Kisha mniambie inakuwaje unamtongoza ama kumchombeza chombeza Mpenzi wa Rafiki yako?
Wana MMU Habari Zenu.

kuna thread moja ulisema una tabia ya kukurupuka nazani umekurupuka kuwa na uhusiano wa kimapenzi.