How do i Solve this?

Mkuu, mademu sometimes wanazingua. Chamsingi mconfront mshikaji na umchane live, demu akimind mkazie na yeye pia. Onesha uanamme wako otherwise demu atajiona kakushika kiboya maana kama imefikia anakujibu kiukali kisa hataki umuulize mshikaji that's smell bad
 
Jambo dogo sana hilo mkuu haa ha... i like dirty game ka hizo sema huwa zinapita mbali coz i oweiz ends up stuntin like pele,yo a man mkuu ila shemeji yetu ndo ka mwanaume hapo the way she plays with your mind guyz,bora huyo mwenzako ile ww ndo kakuuzia uoga kabisaaaa jinsi unavomuhanya,if you want to solve this at least get actin like a real man and take hard decision sometimes.....
 
Rafiki yako keshalamba bingo, toa maamuzi magumu!.
 
Samahani kwa kauli yangu ila mwanaume ni mtu ambae mmmh sijui nisemeje mtu anayeweza kulala na kichaa na akapata mimba while anajue kua aliyelala nae hamnazo,usishangae rafiki yako kumtaka shemeji teh teh mikojo inamsumbua akiimwaga tu atakua mpole

Sio mikojo unamsumbua....sasa hivi ni zamu ya jamaa sema jamaa anambania mwenzie....
Si unakumbuka alisema wwote walikiri kuwa wanampenda....
 
Hapo Umeua Chief
Jamaa Akaze Kikweli Kweli
huyo Du Anamzombisisha Noel 2014
Ahsante Jigo
 
Last edited by a moderator:
I was once in a position like yours! Ilikuwaje na nilifanya nini...endelea then amua mwenyewe mkuu Noel 2014

Tulitokea kumpenda msichana mmoja mimi na rafiki yangu na tuliambizana wote tukiwa na washikaji wengine. Tulijadiliana na kutoka kwenye majadiliano, jamaa akasema mbele ya washkaji wengine kuwa ameamua kunipa go ahead nifanye yangu kumpata msichana. huyo msichana alikuwa ni rafiki wa dadaake huyo jamaa alienipa go ahead.

Nilifanya yangu na kweli binti akakubali nikawa nae. Baada ya muda nikaanza kuona mambo ambayo hayaeleweki baina ya binti na mshkaji wangu na nilipofanya uchunguzi wangu, nikagundua wanakulana (nilipata ushahidi kwa kuona pichu ya binti kwenye begi la jamaa akiwa ameificha chini kabisa ya begi - ni moja ya uchunguzi wangu).

Nini nilikifanya?
- Baada ya kukusanya ushahidi wa kutosha, nilichokifanya ni kuanza kumdelete binti taratibu taratibu. Nilipunguza mawasiliano nae mwisho nikayakata kabisa. Nilikuja kuonana nae tena mahala pengine akataka kunizoea, nikampotezea.
- Mshikaji nae sikumwambia kitu na nikamuachia binti kimya kimya na mpaka leo bado tunawasiliana na mshikaji ila kwa kiasi kikubwa nimepunguza kumshirkisha mambo yangu

My take:
Fanya uchunguzi na jizolee data na ushahidi wa kutosha. Ukithibitisha wanakulana, achana na binti kimya kimya (huna haja ya kuongea nae) na mshkaji punguza kumsirikisha mambo yako ya ndani kwani aatakuwa ameprove kuwa si mshkaji wa kuaminika kwako
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana huyo demu wako kuna kitu anakificha na kama siyo jamaa yako anakula mzigo basi huenda ameahidiwa atapewa papuchi ndo maana hataki umueleze ukweli.
Au inawezekana demu ametega kote kote kwa hiyo bado hajafanya final destination. Ili nafsi yako iridhike fanya mpango wakutanishe wote then muelezane ukweli na mmliki halali wa demu ajulikane.
 
Angeanza yeye kumpotezea kwa kumnyorosha na asikuambie kabisa. Kitendo cha kukuhadithia kinahitaji ufanye uamuzi mgumu. Usiwe kama Kikwete mwana.

Yaan kila nikipata mrembo na kuamua kutulia lazima linakuja jambo halafu linafikia mahala tunazinguana kabisa.

Mwishowe na mm nitaonekana kicheche, Afadhali hakuna, kubwa ni Kuomba Mungu aniepushie mbali Maradhi.
 

Afu jamaa ni Mshkaji wangu wa karibu sana, though siku hizi nampotezea tu, tulikuwa na kawaida ya kujiachia sehemu za sherehe na bata Pamoja, Nimempokea kazini, Nimemuongoza ku master kazi zake.. I have bng a Friend to him, ILa kitendo cha kumnyatia duu wangu, kimenidhoofu, halafu Mchumba nae ananiambia wala nisimfuate, ni achane nae... Dah.
 

Mkuu, Niliandika hivi... Ungekuwa ww ungefanya nn? Put yourself into my shoes n tell me what would you do?
 
Sio mikojo unamsumbua....sasa hivi ni zamu ya jamaa sema jamaa anambania mwenzie....
Si unakumbuka alisema wwote walikiri kuwa wanampenda....

Mkuu,

Kwahiyo Unasema nimwachie jamaa au sio? Basi Mi namwachia, Ila sharti langu Moja.. Kama demu ataamua kuhamia kwa mshikaji, basi kwangu Asirudi tena.
 
Hapo Umeua Chief
Jamaa Akaze Kikweli Kweli
huyo Du Anamzombisisha Noel 2014
Ahsante Jigo

Unajua hizi mambo ukiwa nje ya Mahusiano rahisi sana ku comment, ila ww ukiwa ndio muhusik inakuwa ngumu kinoma kufanya Maamuzi.....
 
Last edited by a moderator:

Mkuu
Nimekuelewa.
Asante.
 
Last edited by a moderator:
Siyo adabu wala heshima,tatizo lipo kwa dem wako na wewe kwa uchache,kitendo cha dem wako kuendelea kukubali kufanywa sehemu ya majaribio na wewe kuendelea kumsikiliza kuhusu hayo mambo ni tatizo,sasa suluhisho ni kuwa kwanza wewe usiulize kuhusu hiyo hali na hata akikuambia mnyamazishe mapema kabisa asiendelee kukuambia,maana siku akiliwa hatakuambia..lakin pia muambie huyo dem wako ajiheshimu..
 
Angeanza yeye kumpotezea kwa kumnyorosha na asikuambie kabisa. Kitendo cha kukuhadithia kinahitaji ufanye uamuzi mgumu. Usiwe kama Kikwete mwana.


Anakuwa mgumu kama Muheshimiwa bwana,aFanye uamuzi mgumu mkuu wanawake wako wengi tu....,ikishindikana mteme!
 
Fanya uwezalo jamaa ajue demu ni wako, la sivyo utasalitiwa
 
Usikurupuke kumfuata jamaa,je kama demu anakurusha roho? Unawezakuta demu anajua kuwa huyo rafikiyo anammezea so anakurusha roho!

Anatafuta attention yaani "take care of me or I can be taken...."Au anataka kukutenganisha na rafikiyo kwa sababu zake binafsi!

Unaweza kuja kuharibu mpaka ujione mjinga. Kuwa mvumilivu,kuwa na subira, chunguza mpaka upate ushahidi, then make decision! Pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…