How do I look...???

Hapana, niko na kakijana kangu nakafundisha kulenga shabaha ya vichwa vya watu watakaoingia kwenye anga za baba yake..


amekomaa mapema huyo kama....................nishajua siri ya mafanikio ya kuwa na familia kubwa eti ifikapo mwaka laki kumi uwe raisi mteule
 
Nitamuuliza matesha leo tukikutana kwenye vikoba leo.

watu na habari za watu,kumbe uko vikoba!kuna watu wanajua habari za watu kuliko mtu anavyojua habari zake.......

embu tuletee habari nasi tupate habarisha watu kuhusu Asprin atiii....
 
Last edited by a moderator:
watu na habari za watu,kumbe uko vikoba!kuna watu wanajua habari za watu kuliko mtu anavyojua habari zake.......

embu tuletee habari nasi tupate habarisha watu kuhusu Asprin atiii....
Shhhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!! Hebu kam zis way kama ulivyokam juzi usiku nikuambie kitu kizuuuuuri

 
Shhhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!! Hebu kam zis way kama ulivyokam juzi usiku nikuambie kitu kizuuuuuri

platozoom sio kweli kabisa baby wng anazusha tu na hiyo picha alinivizia dirishani ndo akanipiga af wake zake mko wapi muone tabia ya mmwenu alivyokuwa sharobaro na mpigashambo mtaani, haswa huyu BadiliTabia
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kuwa na wengi si ndo vizuri ummu kulthum? manake hutanipa kazi ya kukufundisha..... si unajua uzoefu unalipa?

khe unataka kuniunganisha kunako mtandao wako aku!!anayekupenda ni mmoja watakaokuchezea kama ww ni a lot of million kati ya wakenzo C,B&Y yupi mkaliiii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…