How did he survive this!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How did he survive this!!!

Discussion in 'International Forum' started by Hofstede, Aug 5, 2011.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Michezo mingine ya Hatari sana. Inakuwaje mtu unachimba tunnel beach huku ukijua fika kuwa beach ni mchanga usiokuwa na binders?. Huyu Kijana sijui ameishi vipi. Hii inanikumbusha matukio ya vifo vya migodini na wachimba mchanga wa kule kunduchi.   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...