How CCM Miscalculated Entirely Everything

Solomon David

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2009
Posts
1,146
Reaction score
17
1. By nominating this honorable:



Using a "book" in a press conference! Are you kidding me?

2.....
 
Yaani jamaa ni kama ameenda kusoma risala pale. Duh!
 
1. By nominating this honorable:



Using a "book" in a press conference! Are you kidding me?

2.....
Yaani hata maongezi ya watu wawili lazima adese.......nafikiri hata wakati wa kucheka na kutabasabu ulikuwa kwenye dondoo zake......... saa 5:02 ni muda wa kutabasamu kaaaazi kweli.
 
kaaazi kwelikweli! yaani hata kuaa tu! angalia seriousness ya mwenzake na yeye alivyokaa
 
Desa linasaidia sometimes. Rais hawezi kujua kila kitu
 
Miscalculated??????? Kesha ongoza miaka mitano tehetehetehe
 
Hah hah "That one" una mambo sana this is good one......
 
Hah hah "That one" una mambo sana this is good one......

Tunajiandaa kwa uchaguzi mwingine baada ya huu! Mkulu afya yake inautata...hata Mgombea mwenza naye vile vile....
 
wakati namshauri Rev kule kwenye thread yake ya How CHADEMA MISCALCUlATED... sikuwa nimeona hii; na sasa nimeona kumbe hata hamna kile nilitarajia; at least Rev came up with 'arguable argument'
 
wakati namshauri Rev kule kwenye thread yake ya How CHADEMA MISCALCUlATED... sikuwa nimeona hii; na sasa nimeona kumbe hata hamna kile nilitarajia; at least Rev came up with 'arguable argument'

Ulitarajia nini?
 
Watu wanamshangaa Mheshimiwa JK kwa kutumia nyenzo wakati wa kukutana na mnono wa dunia kwa ubaya wa nyenzo ni nini? Plale alipokuwa si chumba cha mtihani hivyo mambo kama yale ni ruhusa tupu, cha muhimu ujumbe muafaka umefikishwa tena kwa mpangilio na lugha marizawa. Acheni kumzongazonga Rais kwani kufanya hivyo inaashiria husuda kwa nafasi Mola aliyomjalia
 
CCM walidhani na mwaka huu ni mteremko kama 2005 sasa wanakutana na mlima gia zote wamemaliza hand break imechomoka na wako katikati ya mlima dereva hajiwezi anataka kuruka kazi kweli kweli nisikilizie litakapoanza kuporomoka kurudi nyuma hakibaki kitu.
 
Jamaa uwezo wa kukariri umepungua!!! Lo DESA ni muhimu. Nampenda sana Rais Mugambe, ni mbabe lakini linaweza kuongea kwa komfo tena bila nyenzo/desa/kibuti na nchi za walowezi zinamkoma!!
 
Hii ni kali ya mwaka. Yaani ni kichekesho sijapata ona. Ebu sikia mbumbumbu wengine wanavyoona hakuna shida. Ni wakina January hao!
 
Hivi wewe mpumbavu kiasi kuuliza usichokijua.Unafahamu nini wanachokizungumzia.mtu yeyote ili afanye mambo yake kwa mpangilio lazima aziandike.Kama ukisahu utafanya nini ili kukumbuka.Usiwe mwendawazimu kumfanya JK hana akili.Ameongoza nchi bila ya matatizo na kuchaguliwa mwenyekiti wa AU na mtanzania kuchaguliwa kuwa naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa.Mama Migiro ameteuliwa kwa sababu ya sifa ya tanzania.Wewe unapoandika chochote uwe na ukweli wa unachokielezea .Usikrupuke kama mwenda wazimu wa Mirembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…