Unamfumania halafu unamsamehe.. Kisha unamuuliza dear "sikufikishi eti switi?" akisema ndiyo unamuuliza huko nje unafikishwaje? Haraka haraka,Kwa nguvu au taratibu.
Unajipima ukiona huwezi unatoa talaka Presha za kazi gani mwisho uue ukafie Keko au Butimba bure!
^^