wanajukwaa habar,me ninayo hyo simu lakn imeroga OS nimejarbu kuweka Os nyngne imegoma coz znatofautiana kutoka wasambazaji mfano tigo na Mtn pamoja na nchi husika,so naombeni anyeweza nisaidia OS (official/stock ROM) ya hiyo simu ambayo version yake iwe mwshon B114