How BBC HARDTALK Destroyed Ruto's 2022 presidential race

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,065
2,000
Ruto ameulizwa kwanini utafiti nchini Kenya unamuonyesha akiongoza orodha ya wakenya wenye tuhuma nzito za rushwa , katika utafiti huo yasemekana Mh Ruto akijinyakulia 33% na kushika jackpot.

Steve Sucker amegusia pia sakata la Wenston Hotel , hebu wakenya fungukeni mtusaidie kwanini huyu Ruto amekuwa mtuhumiwa mkuu wa Rushwa ?
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,148
2,000
12 Feb 2019

DP William Ruto's Weston land confession

Deputy President, William Ruto, has acknowledged that the land on which the Weston hotel stands, was acquired fraudulently, and that this was being reversed legally. The country's second in command, in an interview with the BBC's HARDTALK presenter, Steven Sackur, has insisted that he has been the only Kenyan politician subjected to a lifestyle audit in the public eye, while stating that the Jubilee government is keen on fighting corruption in the country, in order to realise the Big 4 agenda of development.
Source: NTV Kenya
 
thank you sir
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,148
2,000
Naona wanaJamiiForums wa-Kenya halisi wamekimbia kuja kujadili ufisadi. Wengine wachache waliojitokeza wanasema wanaogopa wanasema lebo ya 'ukabila' itatumika hivyo hawataki kuchangia mawazo.

Tuwakumbushe ndugu zetu kuwa Jukwaa la JamiiForums ni salama, unaweza kujadili bila hofu kuwa utafuatiliwa au ID yako kuvuliwa 'mask' na kuwekwa hadharani.
 
asante mkuu kwa hakikisho la usalama
 
platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
8,675
2,000
Naona wanaJamiiForums wa-Kenya halisi wamekimbia kuja kujadili ufisadi. Wengine wachache waliojitokeza wanasema wanaogopa wanasema lebo ya 'ukabila' itatumika hivyo hawataki kuchangia mawazo.

Tuwakumbushe ndugu zetu kuwa Jukwaa la JamiiForums ni salama, unaweza kujadili bila hofu kuwa utafuatiliwa au ID yako kuvuliwa 'mask' na kuwekwa hadharani.
Tayari wana-side zao. Wanaona wakisema chochote watajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
10,776
2,000
Tayari wana-side zao. Wanaona wakisema chochote watajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio eti tuna 'sides' ila baada ya ile handshake ya rais U.K. na RAO Kenya kumekuwa na umoja wa aina yake, kwenye nyanja zote. Hakuna mkenya mida hii ambaye ana hamu ya kuona jahazi likuyumba yumba. Tafuta hiyo interview ya Hardtalk, utaona Hustler anavodai kwamba yeye pekee yake ndiye anayewindwa ila hakani madai hayo ya ufisadi kwa nguvu zake zote kama inavostahili. Yaani ni jipu hatari ambalo lazima litumbuliwe kwa umakini. Watch this space.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom