Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,607
Msisahau mnadaiwa 'deni' hapo CentralSio eti tuna 'sides' ila baada ya ile handshake ya rais U.K. na RAO Kenya kumekuwa na umoja wa aina yake, kwenye nyanja zote. Hakuna mkenya mida hii ambaye ana hamu ya kuona jahazi likuyumba yumba. Tafuta hiyo interview ya Hardtalk, utaona Hustler anavodai kwamba yeye pekee yake ndiye anayewindwa ila hakani madai hayo ya ufisadi kwa nguvu zake zote kama inavostahili. Yaani ni jipu hatari ambalo lazima litumbuliwe kwa umakini. Watch this space.
Jombaa, sioni kama unaelewa siasa za Kenya. Mimi sio mzawa wa central wala sijaishi central. Kuna comment zangu kwenye nyuzi za hapo awali nilikuwa nampigia DP Ruto debe, tena sana. Ila siasa za Kenya sasa hivi zinabadilika na kuwa based na utendaji kazi wa kila kiongozi kivyake. Hustler amekuwa dissappointing kwenye viashiria vyote vya uongozi unaofaa. Sio kwa tuhuma za ufisadi dhidi yake pekee yake. Kuna hii issue ya kupiga kampeni kila uchao, mbele ya muda wa kampeni kuwadia. Sio siri pia kwamba amekuwa kikwazo kikubwa kwa kila hatua ya mabadiliko yanayoendelea Kenya, na yupo ndani ya serikali. Amini usiamini hata kwa wafuasi wa Jubilee kule hometurf kwa Ruto, maeneo ya Eldoret, sasa hivi nyota ya Raila Odinga inazidi kung'aa zaidi ya Hustler.
Nazijua siasa za Kenya ingawa siwezi kusema ni mahiri sana. Hivi Kenya Mtu mwenye tuhuma za ufisadi inaweza kuwa kikwazo kikubwa kuwa Rais au ni namna atakavyopata uungaji mkono.Jombaa, sioni kama unaelewa siasa za Kenya. Mimi sio mzawa wa central wala sijaishi central. Kuna comment zangu kwenye nyuzi za hapo awali nilikuwa nampigia DP Ruto debe, tena sana. Ila siasa za Kenya sasa hivi zinabadilika na kuwa based na utendaji kazi wa kila kiongozi kivyake. Hustler amekuwa dissappointing kwenye viashiria vyote vya uongozi unaofaa. Sio kwa tuhuma za ufisadi dhidi yake pekee yake. Kuna hii issue ya kupiga kampeni kila uchao, mbele ya muda wa kampeni kuwadia. Sio siri pia kwamba amekuwa kikwazo kikubwa kwa kila hatua ya mabadiliko yanayoendelea Kenya, na yupo ndani ya serikali. Amini usiamini hata kwa wafuasi wa Jubilee kule hometurf kwa Ruto, maeneo ya Eldoret, sasa hivi nyota ya Raila Odinga inazidi kung'aa zaidi ya Hustler.
Kabisa.Kuna uzito mkubwa nyuma ya Ruto unaomsukuma na kumuaminisha ndio maana hana chembe ya hofu,uzito huo hapa nyumbani tuliuona wachafu walisafichwa na wakang'aa kabisa.
Ana urafiki wa karibu sana Mzee KikweteAnaitwa Arap Mashamba, ukweli usemwe tu, huyu jamaa hata mtoto ambaye amezaliwa jana anafahamu vizuri kwamba ni fisadi kupindukia. Acha niachie hapo, nikifafanua zaidi wataanza kusema kwamba mimi ni mkabila.
Hata nyota ya Raila ing'ae kama theluji,hawezi akawa Rais wa Kenya,you can take that to the bank.#Teamtangatanga dynasties tunamaliza this time round.Jombaa, sioni kama unaelewa siasa za Kenya. Mimi sio mzawa wa central wala sijaishi central. Kuna comment zangu kwenye nyuzi za hapo awali nilikuwa nampigia DP Ruto debe, tena sana. Ila siasa za Kenya sasa hivi zinabadilika na kuwa based na utendaji kazi wa kila kiongozi kivyake. Hustler amekuwa dissappointing kwenye viashiria vyote vya uongozi unaofaa. Sio kwa tuhuma za ufisadi dhidi yake pekee yake. Kuna hii issue ya kupiga kampeni kila uchao, mbele ya muda wa kampeni kuwadia. Sio siri pia kwamba amekuwa kikwazo kikubwa kwa kila hatua ya mabadiliko yanayoendelea Kenya, na yupo ndani ya serikali. Amini usiamini hata kwa wafuasi wa Jubilee kule hometurf kwa Ruto, maeneo ya Eldoret, sasa hivi nyota ya Raila Odinga inazidi kung'aa zaidi ya Hustler.
Sioni kitakacho wazuia wakenya kumpigia Ruto Kura ,kama waliweza kuwapigia 2013 na Ile kesi ya jinai ,sasa iwe Tu hii ya ufisadi? Ambayo sio ya kweli ,hao watu wote wanampinga Ruto cause he is very strong and Raila was very smart akajoin Uhuru mapema ili wajaribu kuvunja Ruto from inside angechelewa tu kidogo hawangeweza huyu muungwana nevertheless Ruto is playing his cards from his chest Ile siku ataziachilia mtaona kivumbi cha ajabu.#Aishajumwa Malindi forever,Joho na vimbwa vyake anavyovituma kuja kubwekabweka hapa Malindi Kwa sababu ya ule unga ambao anawapa hataweza kucomand respect from mijikenda community#teamtangatanga,we are Africans and Africa is our business.Kabisa.
Ana nguvu kubwa sana nyuma yake. Ila ni fisadi asiye na aibu kabisa! Nafikiri akiamini mbona akina Uhuru na wengine wamepiga kwa nini mimi iwe nongwa.
Ila kama kuna kosa Wakenya watafanya ni kumchagua huyu, kwanza itamaanisha hata ukiwa fisadi 'wazi' una kinga pili kwamba uongozi ni baina ya jamii mbili (jamii=kabila)!
Lakini mwisho wa siku Rais anaweza kuamuliwa mezani
Sent using Jamii Forums mobile app
Suluhu Hassan if am not wrong.Kwa sasa Ruto hana mpinzani kwenye debe 2022. I love the way Tanzanians follow our politics.... Bado sijapata jina la makamu wa raise Tz.
Angalia mahojiano kwa habari za Kenya, kila mtu anadai Ruto ni fisadi Kenya, hapo hakuna siri.....Naona wanaJamiiForums wa-Kenya halisi wamekimbia kuja kujadili ufisadi. Wengine wachache waliojitokeza wanasema wanaogopa wanasema lebo ya 'ukabila' itatumika hivyo hawataki kuchangia mawazo.
Tuwakumbushe ndugu zetu kuwa Jukwaa la JamiiForums ni salama, unaweza kujadili bila hofu kuwa utafuatiliwa au ID yako kuvuliwa 'mask' na kuwekwa hadharani.
Kwa sasa Ruto hana mpinzani kwenye debe 2022. I love the way Tanzanians follow our politics.... Bado sijapata jina la makamu wa raise Tz.
Tuhangaike kwanza na jiwe wetu halafu ndo tuanze kufatilia ya majirani
Au unasemaje mdau
Sent using Jamii Forums mobile app