Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
How dear?ni kujitoa ufahamu tu
How dear?
Kuna wengine wanajiona wanajitambua lakini ukitazama matendo yao sasa utashangaa yanaenda kinyume kabisa na maneno yao.Hata sijui tatizo ni nini kwa kweli!!watu wengi kipindi hiki hawataki kujikubali kuwa wao ni wanamna gani hasa, hilo la kutokujitambua ndio tatizo kubwa sana katika kizazi chetu.
tunapenda maisha ya kuigiza zaidi kuliko vinginevyo....
Unajua hiko ni kitu kingine najiuliza sana je kuna watu ambao they never grow up?Au ndo hawakufanya wanayoyafanya utotoni wanafanya ukubwani??watu kibao wanajidai hawajielewi na kujiona vijana ilhali wao ni watu wazima kukopi na kupaste life style za watu imetuathiri
Unajua hiko ni kitu kingine najiuliza sana je kuna watu ambao they never grow up?
Ni sawa kabisa watoto wanaiga kwa wakubwa hasa wakiwa na umri mdogo hawana upeo mzuri wa kutofautisha zuri na baya....Na isitoshe anaona mama anafanya kwann na mm nisifanye?Makuzi yanaathiri wengi sana...Malezi tuliyolelewa na ndio siku zote yanaleta utofauti.Hao waropokaji na wasiojiheshimu ni kutokana na malezi au mazingira yanayomzunguka.Kuna mama mmoja jirani nilikuwa namuona mstaarabu sana siku hiyo nimeenda kwake aiseee nilijuta yani alikuwa anawatukana wanae hadi nikaona aibu na kwa jinsi nilivyoona mazingira ya pale na matusi mazito kwa watoto nikasema piga ua watoto lazima na wao waje kuwa watukanaji wazuri
Kuna wengine wanajiona wanajitambua lakini ukitazama matendo yao sasa utashangaa yanaenda kinyume kabisa na maneno yao.Hata sijui tatizo ni nini kwa kweli!!
You are a good example rafiki hata hapa JF nakukubali sana!!🙂Accept change
kwanza kabisa sisi grown ups tunabidi tukubali kwamba change is an unavoidable and vital part of life. Accepting change and adjusting to it, inasaidia kujua namna gani ya kuweza kudeal with the young generation na kuweza kuwa mfano bora.
Make Time for them
Unapoweza kutenga muda na kuwasikiliza hawa madogo inasaidia sana kutengeneza uhusiano mzuri na kuondoa ile nidhamu ya uwoga ambayo most of the times sisi grown ups tunatengeneza. Unapotenga muda kwa ajili yao inawasaidia wao kuwa huru, wao kucommunicate, kujifunza na pia kupata the ability to seek and accept help from us.
Teaching them
Inabidi sisi grown ups tuelewe kwamba mambo yamebadilika, personally huwa najitahidi kuwafundisha na kuwahimiza umuhimu wa kuset goals, kuwa na expectations nzuri za maisha yao na umuhimu pia wa making the right choices and decisions
Hivi humu mnajuana fulani ana umri gani ? Au ndio mnaangalia comments za mtu ndio unasema fulani babu inabidi awe mfano? Usije kujikuta unataka kuwa mfano kwa baba/mama yako.....even fools grow old!