inakuwa vipi pale mtu anapotumia subnet mask id? bado wataiba tu?
Did you know your IP address is exposed every time you visit a website? Your IP address is your online identity and could be used by hackers to break into your computer, steal personal information, or commit other crimes against you. Hide My IP allows you to surf anonymously, change your IP address, prevent identity theft, and guard against hacker intrusions, all with the click of a button.
Key Benefits & Features of Hiding your IP
- Easily Conceal Your IP Address - Just click "Hide IP" and your IP is instantly hidden! Other people see a fake IP, which is not associated with your real IP. Click here to read how it works.
- Un-ban Your IP From Forums, Blogs, and other Websites - By faking your IP you can often access many sites you were banned from.
- You can use a fake UK or USA IP to watch some online TV pogram, documentaries,drama series , etc from TV channel especially in UK and USA
Currently nimeona kipindi very interesting kimoja cha welcome to lagos in BBC TWO player after faking my ip adress kama niko UK.
BBC Two - Welcome to Lagos, Episode 1
BBC Two - Welcome to Lagos, Episode 2
kwa wale wanaopenda tamthilikam kama za eastenders pia hii program ya kufake ip ni nzuri sana sana sababu ina fada zaidi ya privacy
SO How can you hide you IP ?
Visit this site HIDE-MY-IP.com - Hide Your IP Address, Surf Anonymously, and Protect Your Identity download hiyo trial version ya siku 14. na kama ukiona unahitaji kuwa na kitu kama hiki nifahamishe nikumbie wapi pa kupata full version.
inakuwa vipi pale mtu anapotumia subnet mask id? bado wataiba tu?
Thanks for your information. I got more details about hide ip address. I have followed your steps then hide my ip address. After i have checked my ip address from this site Ip-Details.com
.wakuu nina swali dogo.IP address inahusiana na smartphone devices?.if yes,how can i hide my smartphone"s IP iddress.?
.
.
Kaka ume ziona hizo laini hapo juu?
.
Hizo ndizo zinazo pewa IP address na hii mitandao na haziwezi kuingiliana yaani kufanana na wala sio simu wala computer
.
IP ADDRESS ni lebel yako ww
yaani ni kama namba yako ya simu....
Ila kamwe huwezi ku change IP ADDRESS yako bila kuwa omba ISP (internet service provider) kwa mfano kama wewe una tumia laini ya vodacom basi kawaombe wao waku badirishie!
.
Ila unachoweza wewe ni kui hide tu isionekane .... Yaani you're real ip address
.
Na IP ADDRESS ni Rahizi sana ku HIDE ila huwezi kuwa ume hide IP ADDRESS yako completely kuna site nyingine ukitembelea wana uwezo waku itambua vizuri tu...
.
Lakini kwa android nadhani zipo apps za kufanya hivyo
.
Lakini common ni kutumia proxies
.
Nikuongezee tu hakuna Hacker anae weza ku Hack IP ADDRESS yako kwasababu ni lebel... You can't hack the lebel.....
.
Lakini hiyo IP address yako ataitumia tu kama njia kwa mfano
nataka ku hack computer ya kadoda11
.
Sasa tatizo analo lipata ni kuwa computer zipo nyingi
kwa hiyo kitakacho mfanya aweze kukuhack wewe ni hiyo IP address yako......
.
Au wewe unataka kunipigia simu mm...
Sasa namba za simu zipo nyingi....
Kwa hiyo ukija kuipata namba yangu mimi ...
Basi utaweza kufanya hivyo!
.
Got Em
CodeR GodivA & Good Guy darasa lenu zuri sana.nimejifunza kitu kwa kweli.natamani kungekuwa na thread maalum ya kuhusu somo la IP address ili mfunguke zaidi.so far so good.
PricingNahitaji licence ya mwaka mzima ya hawa "Hide My Ass IP" itanigharimu kiasi gani!???
THIRD:
Kuhack kwa IP yako sio rahisi kama unavoitamka. ISP usually wanakupa IP ambayo ni private (Hairuhusiwi kwenye internet) huku wao wakiwa na Public IP ambayo inaweza kuingia mtandaoni, Server inapokea maombi yako inaweka IP yako pembeni (maana hairuhusiwi mtandaoni) kisha inaingia kwa IP yake then inapokea majibu na kukuforwadia kwene address yako. hivyo hacker most likely atapata IP ya ISP na hawezi kupata yako, so sio rahisi kihivyo. Unless umepewa Public address hapo kweli ni rahisi kukuattack.
Kuna uwongo mwingi kwenye hiyo post ya kwanza. Kwanza IP inayoonekana ukiwa online haiwezi kutumika kukuidentify kwa kuwa hii IP ni ya ISP wako na inatumika na wateja wake wengi kuingia mtandaoni, unachoweza kujua from IP ni ISP tu wa mtumiaji, na ISP ataweza kumjua ni nani aliyekuwa anatumia hiyo IP na ana access nini kwa wakati upi, hiyi yote ni kama ISP anakeep logs za wateja wake.
Pili kutumia hizi service za kuficha IP yako ni kama umeongeza tu middleman mwingine, ukivunja sheria kwa kujificha na hideMyAss, log za hideMyAss zitaonyesha ip yako ya kweli, so haujaficha kitu, wao pia inabidi wafuate sheria kama ISP wako wakipewa court order. Hili limeshatokea na jamaa wa Anonymous aliyejificha kwa HideMyAss, FBI wakaomba logs zao akakamatwa kiulaini.
Tatu ni hatari kubwa kutumia hizi service za vpn na proxy maana data zako ZOTE zinakuwa zinapita kwao, na hauwezi kujua ni nani anarun hizo service na ni nini anafanya na info zako.
CodeR GodivA & Good Guy darasa lenu zuri sana.nimejifunza kitu kwa kweli.natamani kungekuwa na thread maalum ya kuhusu somo la IP address ili mfunguke zaidi.so far so good.