How and Advantage of hiding your Internet IP adress

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,437
Did you know your IP address is exposed every time you visit a website? Your IP address is your online identity and could be used by hackers to break into your computer, steal personal information, or commit other crimes against you. Hide My IP allows you to surf anonymously, change your IP address, prevent identity theft, and guard against hacker intrusions, all with the click of a button.

Key Benefits & Features of Hiding your IP

  1. Easily Conceal Your IP Address - Just click "Hide IP" and your IP is instantly hidden! Other people see a fake IP, which is not associated with your real IP. Click here to read how it works.
  1. Un-ban Your IP From Forums, Blogs, and other Websites - By faking your IP you can often access many sites you were banned from.

  1. You can use a fake UK or USA IP to watch some online TV pogram, documentaries,drama series , etc from TV channel especially in UK and USA

Currently nimeona kipindi very interesting kimoja cha welcome to lagos in BBC TWO player after faking my ip adress kama niko UK.
http://www.bbc.co.uk/iplayer/episode/b00s3bmx/Welcome_to_Lagos_Episode_1/
http://www.bbc.co.uk/iplayer/episode/b00s5x5w/Welcome_to_Lagos_Episode_2/

kwa wale wanaopenda tamthilikam kama za eastenders pia hii program ya kufake ip ni nzuri sana sana sababu ina fada zaidi ya privacy

SO How can you hide you IP ?

Visit this site http://www.hide-my-ip.com download hiyo trial version ya siku 14. na kama ukiona unahitaji kuwa na kitu kama hiki nifahamishe nikumbie wapi pa kupata full version.
 
inakuwa vipi pale mtu anapotumia subnet mask id? bado wataiba tu?
 
inakuwa vipi pale mtu anapotumia subnet mask id? bado wataiba tu?

Kwa uelewa wangu mdigo subnetting has nothing to do with privacy nor protection on the client/ mtumiaji. Nadani subent mask ID inasadi adminitration ya network from ISP point of view

Ukicheki hiyo web site ya http://www.hide-my-ip.com utagundua kuwa inaweza kujua Internte IP adress unayotumia na ISP wako na kama uko ulaya unaweza kukutajia uko hata kitongoji gani. For Privacy that can be a big weakness of not a Threat

But kuna faida zaidi ya hizi mfano
watu wanaopiga kura kwa njia ya online wanaweza kutumia internet kuchagua washindi wanaweza kutumia program kama hizi kuonyesha wanapiga kura kutoka nchi tofauti ili kumbeba mlengwa fulani. kumbe kapigiw akura na watu wa nchi mjoja wanaoafake ip zao

Binafsi sometime naangalia vipindi navyopenda vya bbc ambavyo bila kuwa fake ip adress ya UK huwezi kuviona kwenye online website yao.
 
Did you know your IP address is exposed every time you visit a website? Your IP address is your online identity and could be used by hackers to break into your computer, steal personal information, or commit other crimes against you. Hide My IP allows you to surf anonymously, change your IP address, prevent identity theft, and guard against hacker intrusions, all with the click of a button.

Key Benefits & Features of Hiding your IP

  1. Easily Conceal Your IP Address - Just click "Hide IP" and your IP is instantly hidden! Other people see a fake IP, which is not associated with your real IP. Click here to read how it works.

  1. Un-ban Your IP From Forums, Blogs, and other Websites - By faking your IP you can often access many sites you were banned from.

  1. You can use a fake UK or USA IP to watch some online TV pogram, documentaries,drama series , etc from TV channel especially in UK and USA

Currently nimeona kipindi very interesting kimoja cha welcome to lagos in BBC TWO player after faking my ip adress kama niko UK.
BBC Two - Welcome to Lagos, Episode 1
BBC Two - Welcome to Lagos, Episode 2

kwa wale wanaopenda tamthilikam kama za eastenders pia hii program ya kufake ip ni nzuri sana sana sababu ina fada zaidi ya privacy

SO How can you hide you IP ?

Visit this site HIDE-MY-IP.com - Hide Your IP Address, Surf Anonymously, and Protect Your Identity download hiyo trial version ya siku 14. na kama ukiona unahitaji kuwa na kitu kama hiki nifahamishe nikumbie wapi pa kupata full version.

Thanks for your information. I got more details about hide ip address. I have followed your steps then hide my ip address. After i have checked my ip address from this site Ip-Details.com
 
wakuu nina swali dogo.IP address inahusiana na smartphone devices?.if yes,how can i hide my smartphone"s IP iddress.?
 
wakuu nina swali dogo.IP address inahusiana na smartphone devices?.if yes,how can i hide my smartphone"s IP iddress.?
.
sim-cards.jpeg

.
Kaka ume ziona hizo laini hapo juu?
.
Hizo ndizo zinazo pewa IP address na hii mitandao na haziwezi kuingiliana yaani kufanana na wala sio simu wala computer
.
IP ADDRESS ni lebel yako ww
yaani ni kama namba yako ya simu....
Ila kamwe huwezi ku change IP ADDRESS yako bila kuwa omba ISP (internet service provider) kwa mfano kama wewe una tumia laini ya vodacom basi kawaombe wao waku badirishie!
.
Ila unachoweza wewe ni kui hide tu isionekane .... Yaani you're real ip address
.
Na IP ADDRESS ni Rahizi sana ku HIDE ila huwezi kuwa ume hide IP ADDRESS yako completely kuna site nyingine ukitembelea wana uwezo waku itambua vizuri tu...
.
Lakini kwa android nadhani zipo apps za kufanya hivyo
.
Lakini common ni kutumia proxies
.
Nikuongezee tu hakuna Hacker anae weza ku Hack IP ADDRESS yako kwasababu ni lebel... You can't hack the lebel.....
.
Lakini hiyo IP address yako ataitumia tu kama njia kwa mfano
nataka ku hack computer ya kadoda11
.
Sasa tatizo analo lipata ni kuwa computer zipo nyingi
kwa hiyo kitakacho mfanya aweze kukuhack wewe ni hiyo IP address yako......
.
Au wewe unataka kunipigia simu mm...
Sasa namba za simu zipo nyingi....
Kwa hiyo ukija kuipata namba yangu mimi ...
Basi utaweza kufanya hivyo!
.
Got Em
 
Last edited by a moderator:

Kaka kuna mistakes kidogo umezisema, allow me to clarify na kuweka nyongeza!!! Kwanza kabisa IP address haipewi line ila inapewa DEVICE!! Faida kuu ya IP address ni kuwezesha network devices ziweze kupatana kwenye pool of networks Internet i.e. zikishapatana zinabadilishana MAC ADDRESS na hii ndo inayotumika kusafirisha data in the network!! IN SHORT: IP inapewa device, assume hii scenario. Una line ya simu na ukawasha hotspot na computer moja ikaunga internet kupitia simu yako. Hapo ISP katoa IP moja tu kwenye Hio simu lakini pia simu nayo hapo inatoa IP kwa computer(hope you got something there)
SECONDLY:
IP ukipewa haukai nayo milele(well at least not now), everything is dynamic now ukipewa IP sasa unapewa na whats called Lease time, baada ya huu muda kuexpire IP hio inakua huru kutumika na mtu mwingine! Na imefanyika hivi maana IP addresses ni chache (actually IP address ina nafasi nne za namba i.e 0.0.0.0 na kila nafasi inaweza kuanzia zero mpaka 255 i.e 255.255.255.255 ndio IP address ya mwisho hamna inayozidi hapa. Ukifanya hesabu hapo unagundua possible number of IPs ni 256x256x256x256= about 4 Billion addresses. Duniani tu sasa tupo about 7 Bill people devices zipo nyingi zaidi ya hapo so kuna scarcity ya Addresses. Kuna njia zingine za kusolve hili tatizo pia i.e Subneting ila ni ndefu kidogo kuelezea. All in all IP yako itabadilika from time to time)
THIRD:
Kuhack kwa IP yako sio rahisi kama unavoitamka. ISP usually wanakupa IP ambayo ni private (Hairuhusiwi kwenye internet) huku wao wakiwa na Public IP ambayo inaweza kuingia mtandaoni, Server inapokea maombi yako inaweka IP yako pembeni (maana hairuhusiwi mtandaoni) kisha inaingia kwa IP yake then inapokea majibu na kukuforwadia kwene address yako. hivyo hacker most likely atapata IP ya ISP na hawezi kupata yako, so sio rahisi kihivyo. Unless umepewa Public address hapo kweli ni rahisi kukuattack.
 
CodeR GodivA & Good Guy darasa lenu zuri sana.nimejifunza kitu kwa kweli.natamani kungekuwa na thread maalum ya kuhusu somo la IP address ili mfunguke zaidi.so far so good.
 
Last edited by a moderator:
CodeR GodivA & Good Guy darasa lenu zuri sana.nimejifunza kitu kwa kweli.natamani kungekuwa na thread maalum ya kuhusu somo la IP address ili mfunguke zaidi.so far so good.

Ur welcome mkuu. Nikipata mda leo au kesho ntaanda makala inayohusu hili somo brother. Hope itatoa mwangaza kwa wengi
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji licence ya mwaka mzima ya hawa "Hide My Ass IP" itanigharimu kiasi gani!???
 
Kuna uwongo mwingi kwenye hiyo post ya kwanza. Kwanza IP inayoonekana ukiwa online haiwezi kutumika kukuidentify kwa kuwa hii IP ni ya ISP wako na inatumika na wateja wake wengi kuingia mtandaoni, unachoweza kujua from IP ni ISP tu wa mtumiaji, na ISP ataweza kumjua ni nani aliyekuwa anatumia hiyo IP na ana access nini kwa wakati upi, hiyi yote ni kama ISP anakeep logs za wateja wake.

Pili kutumia hizi service za kuficha IP yako ni kama umeongeza tu middleman mwingine, ukivunja sheria kwa kujificha na hideMyAss, log za hideMyAss zitaonyesha ip yako ya kweli, so haujaficha kitu, wao pia inabidi wafuate sheria kama ISP wako wakipewa court order. Hili limeshatokea na jamaa wa Anonymous aliyejificha kwa HideMyAss, FBI wakaomba logs zao akakamatwa kiulaini.

Tatu ni hatari kubwa kutumia hizi service za vpn na proxy maana data zako ZOTE zinakuwa zinapita kwao, na hauwezi kujua ni nani anarun hizo service na ni nini anafanya na info zako.
 
THIRD:
Kuhack kwa IP yako sio rahisi kama unavoitamka. ISP usually wanakupa IP ambayo ni private (Hairuhusiwi kwenye internet) huku wao wakiwa na Public IP ambayo inaweza kuingia mtandaoni, Server inapokea maombi yako inaweka IP yako pembeni (maana hairuhusiwi mtandaoni) kisha inaingia kwa IP yake then inapokea majibu na kukuforwadia kwene address yako. hivyo hacker most likely atapata IP ya ISP na hawezi kupata yako, so sio rahisi kihivyo. Unless umepewa Public address hapo kweli ni rahisi kukuattack.

.
Kaka Hapo bado pana nna chakuongeza hapo kidogo!
.
Nadhani hiyo Private IP address unayo izungumzia!
.
Ina maana ya kwamba wewe hapo ulipo unayo ya kwako/ mimi ni nayo ya kwangu na kwa kuwa hata kwenye internet zinakuwa hazipo , ina maana ya kuwa WOTE HATUZIJUI HIZO PRIVATE IP!
lakini tunazozijua ni hizi ISP ip address ambazo hata kwa invisible anazo!
.
Hakuna zaidi ya IP hizi za ISP ambazo hutumika kum attack mtu kaka / either kwa kuingiza RATs/ au hata ku access PC kwa kutumia hizi already made tools

lakini Booters wengi sana wanatumia ku DDOs some one PC or Game servers
.
Na hao hutumia IP address hizi hizi za kawaida ku kick others
.
Lakini mtu aki ku attack kwa DDOs kwasasa ni dili maana akipatikana lazima akulipe kiasi kitakacho kuondoa na umasikini
.
Na hata online tricks IP address wanazo zungumzia ni hiz hiz ISP address!
.
Sure kaka IP ADDRESS zinazotumiwa na Hackers ni hiz hiz za kawaida.... Sio hizo Private IP kaka!
..... Em
.
.
 
Kuna uwongo mwingi kwenye hiyo post ya kwanza. Kwanza IP inayoonekana ukiwa online haiwezi kutumika kukuidentify kwa kuwa hii IP ni ya ISP wako na inatumika na wateja wake wengi kuingia mtandaoni, unachoweza kujua from IP ni ISP tu wa mtumiaji, na ISP ataweza kumjua ni nani aliyekuwa anatumia hiyo IP na ana access nini kwa wakati upi, hiyi yote ni kama ISP anakeep logs za wateja wake.

Pili kutumia hizi service za kuficha IP yako ni kama umeongeza tu middleman mwingine, ukivunja sheria kwa kujificha na hideMyAss, log za hideMyAss zitaonyesha ip yako ya kweli, so haujaficha kitu, wao pia inabidi wafuate sheria kama ISP wako wakipewa court order. Hili limeshatokea na jamaa wa Anonymous aliyejificha kwa HideMyAss, FBI wakaomba logs zao akakamatwa kiulaini.

Tatu ni hatari kubwa kutumia hizi service za vpn na proxy maana data zako ZOTE zinakuwa zinapita kwao, na hauwezi kujua ni nani anarun hizo service na ni nini anafanya na info zako.

Nakubaliana na wewe kua hawa VPN providers wana keep logs zako na zikiitajika wanazitoa
Kuna mtu alilipia subscrption ya VPN fulani akawa anapakua Torrent movie fulani...sasa IP iliyotumika issuer ni watu wa US na wako Vs Piracy strictly...walichofanya wali ABORT acc yake na ikawa imekula kwake
Kwa maelezo zaidi
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...sers-avoid-your-accounts-being-suspended.html
 
CodeR GodivA & Good Guy darasa lenu zuri sana.nimejifunza kitu kwa kweli.natamani kungekuwa na thread maalum ya kuhusu somo la IP address ili mfunguke zaidi.so far so good.
  • Je kwa sasa waijua IP unayotumia katika PC yako?
  • Kama jibu ni hapa, Fanya hivi ili kujua
  • Click RUN -> Andika CMD -> kisha andika IPCONFIG (hapa utaiona real ip unayotumia)
ydzOPV

Utaiona IP yako kwa wakati huo, na kila unapochomoa na kuchomeka modem yako, utakuwa unatumia IP adress tofauti kama alivyoainisha Good Guy hapo juu.
  • Kwa mimi sasa nipo na IP ya Germany (fake IP ninayotumia)
oU6jPq

Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom