HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,993
- 102,833
Rais wa Marekani kasema kuwa Viongozi wa Houthis wamewasiliana na Viongozi wa Marekani na kusema kuwa hawatashambulia meli wala Israel.
Hii imefuatia mashambulizi ya Israel katika Bandari, Uwanja wa Ndege, Vituo zalishi vya umeme viwanda vya cement.
Hii imefuatia mashambulizi ya Israel katika Bandari, Uwanja wa Ndege, Vituo zalishi vya umeme viwanda vya cement.