Habari ya majukumu wadau wa tech. Nina simu yangu ya batani inaitwa nokia x2-02. Sasa housing yake imeharibika sana coz ni ya tangu mwaka 2014 lakini yenyewe bado ipo vizuri na uwezo wake upo safi. Naombeni mnisaidie. Naweza patawapi housing yake kwa Dar es salaam?