Housing ya laptop

Housing ya laptop

Ka2pain

Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
97
Reaction score
26
HAbari zenu wanaJF. Nina laptop yangu imeungua housing(cover) lake. napenda kuuliza kama huwa zinapatikana na kama zinapatikana ni maeneo gani? mimi nipo Dar na laptop yangu ni DEll INPIRON. Natanguliza shukrani za dhati
 
Ndugu zangu nami housing ya laptop imepata shida., wapi zinapatikana,.HP NOTEBOOK 630. Nipo Morogoro
 
Back
Top Bottom