housegirl

housegirl

Cutie M

Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
14
Reaction score
2
jamani natafuta dada wa kazi mwenye access nae anisaidie,asiwe mdogo sana awe na umri at least kuanzia miaka 18 na kuendelea
 
Kwa ushauri wangu; tafutadada ambaye unamfahamu au kuna ndugu /jamaa anayemfahamu. La sivyo utalia kilio cha mbwa mwizi...

**** wadada mawakala wa wezu, majambazi na washirikina.
 
Nenda kwenye makampuni, kule ndio uhakika akizingua unapewa mwngn.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom