housegirl wangu.......sijamwelewa kwaakweli

housegirl wangu.......sijamwelewa kwaakweli

unasubiri nini kumrudisha?
your kids life at risk. kesho mwahishe ubungo
 
Duuu,mimi ninae hapa mdada ni shida tupu,nampango wa kumrudisha kwao nilete mwingine,,naanza kuwa na waswas,
 
Umemleta kwa Elfu 60, subiri umrudishe kwa Milioni laki 6...( Usafiri +Mkebe)

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
pole sana, hakuna haja hata ya kumpima, maana kupima ni hiari na si lazima na yeye ana haki ya kukubali au kukataa, we usiangalie gharama, maana ukianza kupiga mahesabu itakucost, angalia future ya familia yako i.e watoto wako, we msaidie matibabu akiwa anatumia dawa tayari yupo kwenye gari anarudi iringa. mrudishe kwao bwana mungu atakupa mwingine, maana hata kama ukimpima na akiwa +ve hutakuwa na amani juu ya watoto wako, ila usirudie tena, ukimchukua housegirl hakikisha unajua afya yake kwa ujumla yaan umuweke wazi kuwa lazima apime hiv, na upate taarifa kwa wazaz au ndugu kama ana tatizo lolote la kiafya kama kifafa,n.k., tuliza akili yako fikiri kile ambacho unaona ni cha muhimu kwako kukifanya juu ya huyo msichana kwani maneno yetu tunayokuandikia humu ni ziada ya kile ulicho nacho moyoni mwako
una akili nyingi sana utaniazima 1day
 
Si kwamba ni unyanyapaa, ila ni vema hao wasaidizi wa ndani muwapimage afya zao kabla hawajaanza kazi.

Ona sasa unavyopata shida..! Kampime Afya na akigundulika ameathirika mrudishe kwao..!
Huo ni unyanyapaa wa hali ya juu kwanini amrudishe kwao? Unaweza kumpeleka kwenye vituo vya kupima ukimwi akapate ushauri nasaha na kupima kama atahiari kufanya hivyo. Lakini mwambie pia faida za kufanya hivyo, na ikigundulika kwamba anao basi apate huduma anayostahili huku na wewe ukiendelea kumtia moyo, na kama cd 4 zitakuwa zimepungua sana basi aanze kutumia dozi. Unamrudisha kwao kama kazi hawezi. Lakini kuwa HIV positive si kigezo kabisa cha kumrudisha Hg kwao. Mahousegirl wengi sana ni waathirika lakini hawajaanza bado kuonyesha dalili.

Unasema ataambukiza watoto kwa makusudi.....only kama utaanza kumnyanyapaa na kumdharau au kumgombeza. Kama utaendeleza upendo na kumjali kama mwanao kwa hakika atakulelea watoto wako vema sana.

Tukisema ataambukiza watoto, ina maana mmoja wa wanafamilia wako au mmeo au mkeo akiathirika utamfukuza nyumbani kwa hofu ya kuambukiza watoto? Kama kweli kila mwenye UKIMWI anaambukiza watoto hata kwa kuwapikia tu, basi ni hakika hakuna familia ingekaa na mwenye UKIMWI nyumbani. Tuache unyanyapaa, mind you mimi na wewe pia tupo kwenye hiyo hatari ya kuambukizwa. How would it sound pale tajiri wako anapokwambia umeathirika rudi kwenu ilihari nguvu za kufanya kazi unazo? Na hicho kidogo unachokipata kwenye hicho kibarua ndicho cha kukuongezea kipato ili uishi japo kwa matumaini?

Mahousegirl wa kutoka Iringa hawana roho mbaya hivyo kiasi cha kuwaambukiza watoto wako kwa makusudi. Wapo wengi ambao wananyanyaswa sana na matajiri wao na wanakuja kutuomba ushauri wakiwa wanalia kila siku, lakini katu sijawahi kuona hata mmoja akilipiza kwa mtoto au kumnyima mtoto chakula kisa tajiri mnyanyasaji.
 
Huo ni unyanyapaa wa hali ya juu kwanini amrudishe kwao? Unaweza kumpeleka kwenye vituo vya kupima ukimwi akapate ushauri nasaha na kupima, na ikigundulika kwamba anao basi apate huduma anayostahili huku na wewe ukiendelea kumtia moyo, na kama cd 4 zitakuwa zimepungua sana basi aanze kutumia dozi. Unamrudisha kwao kama kazi hawezi. Lakini kuwa HIV positive si kigezo kabisa cha kumrudisha Hg kwao.

Unasema ataambukiza watoto kwa makusudi.....only kama utaanza kumnyanyapaa na kumdharau au kumgombeza. Kama utaendeleza upendo na kumjali kama mwanao kwa hakika atakulelea watoto wako vema sana.

Mahousegirl wa kutoka Iringa hawana roho mbaya hivyo kiasi cha kuwaambukiza watoto wako kwa makusudi. Wapo wengi ambao wananyanyaswa sana na matajiri wao na wanakuja kutuomba ushauri wakiwa wanalia kila siku, lakini katu sijawahi kuona hata mmoja akilipiza kwa mtoto au kumnyima mtoto chakula kisa tajiri mnyanyasaji.

Hahahaaa.... Haya maisha sio ya kujirisk ndugu yangu... Unaweza ukajifanya mwema eti usimnyanyapae mwisho wa siku ukashtukia watoto wote wameathirika wakati wewe na mumeo mko fit..!

Siwezi ku risk maisha ya watoto wangu hata kidogo..! Kwanza ingekuwa mimi, housegirl akifika tuu cha kwanza ninaenda kumpima Afya yake.. Akigundulika tuu ameathirika namrudisha kwaooo..!!

Mtoa uzi angekuwa hana watoto sawa.. Angeweza kuishi nae lakini kwa kuwa watoto bado wadogo.. Hapanaaa.. Amrudishe tuu kwao.!
 
Kwa mtizamo wako, unadhani housegirl anaweza kuwaambukizaje watoto UKIMWI? Atakuwa anajikamua damu na kuwanywesha au atafanyeje? Kwa uelewa wako ukimwi unaambukizwaje? Au atakuwa anasex na hivyo vitoto vya miaka mitano? Au atakuwa ananyonyana navyo ndimi? au atakuwa anavipigisha mswaki kwa kutumia mswaki wake? Nina maswali zaidi ya milioni sipati majibu.

Kama inawezekana mama mwenye UKIMWI kuzaa mtoto ambaye hana virusi na kumlea hadi utu uzima bila kumwambukiza ni kwa vipi inakuwa rahisi kwa huyo housegirl kuwaambukiza watoto? Kumbuka housegirl hana kazi nyingine zaidi tu ya kuwapikia na kuwaongesha na kuwafulia tu hao watoto, sasa anawaambukizaje jamani. Hebu tusaidiane hapo.

Binafsi nafikiri amsaidie huyu dada ajitambue na aelekezwa namna nzuri ya kuishi kwa matumaini na kuwajali wengine huku akiendelea kupewa tiba. I reali dont find even a single reason why should we segregate these people to such an extent. Kumbukeni asilimia tano ya watanzania wana UKIMWI, hii ni sawa na kusema almost kila kaya ina mtu mmoja mwenye UKIMWI, kama kweli wangekuwa wanafanyiwa haya, hali ya maisha yao ingekuwaje?
 
Mimi naelewa vema njia zote zinazoweza ambukiza ukimwi..! Huku mimi naishi kuna housegirl alikiri mwenyewe kumuambukiza Virusi mtoto wa mwenye nyumba kwa kutumia mswaki na toothpick..... Kwa hiyo usiseme haya mambo hayawezekani!! Yanawezekana tena saaana.!

Kuliko kucheza pata potea ya kuishi na huyu dada ni bora amwondoshe ili na yeye awe na amani ya nafsi.! Nani anapenda kuishi maisha ya wasi wasi jamani? Miasha yenyewe magumu uanze kujipa stress ambazo si za lazima.!! Ukweli utabakia kuwa ukweli hakuna kukwepesha..!
 
wanajf nisaidieni mawazo...nina hg kutoka iringa ana wiki ya pili tu tangu nimemlipia elfu sitini kumleta tanga.....
nilimsikia akitoa harufu kali sana mwilini nkajua huwa haogi mchana....kwa vile sishindi hom nakuwa kwa job kila nikirudi namkimbizia bafuni....lkn kuja kugundua kumbe ameoza bwana sehemu za siri nligundua hili kwa bahati mbaya nliingia rm kwake ucku bila hodi......nikaenda kumpima urine....tukaambiwa ni fungus....naanza kumtibu hilo kapigwa na mkanda wa jeshi wa hatari(moto wa mungU) hapa hom anashinda na watt wangu aged 5 na 2 sasa huyu hata simwelewi atakuwa hajjathirika kweli.....na km ndivyo ss itakuwaje na hii habari ya kutoka na giza na kurudi na giza......naombeni msaada na nikimpima hiv akijua ameathirika hataambukiza wanangu maxudi kweli?????

Housegirl unaoajiri hawana qualification (sifa mama), Unajiokotea tu. Watoto ni RASLIMALI lazima watunzwe kwa gharama yoyote ile. Kwa msisitizo AT ANY COST?
 
Pole sana ndugu huyu ni ndugu yako sasa ningeshauri mpatie ushauri nasaa kupitia wataalamu baada ya hapo hapate tiba ni haikika yangu akipona hatakuwa msaada kwa maana ya nafasi yake iliyomfanya awe hapo kwako.
 
hili nalo unajiuliza ufanyaje?

ukisikia time is of the essence ndio kama hapa. Mrudishe kwao waendelee kumtibia. Kuna mmoja kama huyo alikuwa akitema mate kwenye vyakula vya wenye nyumba. Pata picha mpaka wamekuja kugundua alishafanya mangapi.
 
Mi naomba nikuulize tu, ana miaka mingapi? Hili tatizo limeanza tangu 1983 kwa hiyo kuna watu wengi waliambukizwa kutoka kwa mama zao na kama ni slow progressors wapo kwenye umri wa ujana but the other way round is true. Kwa situation kama hii uko njia panda jjwa kweli, nakupa pole! Mpeleke ushauri nasaha ili wakamwelimishe kuhusu tatizo lake na aanze dawa ili aweze kuendelea kuishi kwa matumaini. Huwa napingana sana na unyanyapaa lakini kwa hapa sina la kusema kwa kweli.
 
Wewe unajutia kutoa elfu 60 nyingine arudi kwao? ubahili huo utakuponza muda si mrefu.
 
kampime then kama ameathirika mrudishe kwao,ila kabla hujamrudisha mpitishe akapte ushauri nasaha kwanza,usisahau kumuelimisha baba watoto,hahahahah,
 
[QUOTE=genltesoul;...............sijuwi bado unasubiri nn kumludisha kwao...? wewe ulitaka mfanya kazi sio..? wala hukuambiwa kabla juu ya tatizo lake........ umejificha kwenye jumba bovu na mvua inanyesha subiri likuangukie........!!!!!!!!!!!!!!!
 
wanajf nisaidieni mawazo...nina hg kutoka iringa ana wiki ya pili tu tangu nimemlipia elfu sitini kumleta tanga.....
nilimsikia akitoa harufu kali sana mwilini nkajua huwa haogi mchana....kwa vile sishindi hom nakuwa kwa job kila nikirudi namkimbizia bafuni....lkn kuja kugundua kumbe ameoza bwana sehemu za siri nligundua hili kwa bahati mbaya nliingia rm kwake ucku bila hodi......nikaenda kumpima urine....tukaambiwa ni fungus....naanza kumtibu hilo kapigwa na mkanda wa jeshi wa hatari(moto wa mungU) hapa hom anashinda na watt wangu aged 5 na 2 sasa huyu hata simwelewi atakuwa hajjathirika kweli.....na km ndivyo ss itakuwaje na hii habari ya kutoka na giza na kurudi na giza......naombeni msaada na nikimpima hiv akijua ameathirika hataambukiza wanangu maxudi kweli?????

Subiri akutembelee na mmeo kwnz ndo utajua tatizo lake.
 
Sidhanikama elfu tisini ni sawa na afya na uhai wa familia yako,mrudishe mapema sanaaa..wala usifikiri mara mbili..
 
Back
Top Bottom