haswa, hamna umuhim wa housegirl kama mko wawili tu ndani ya nyumba, kama una watoto na una kazi hapo ndi[po uanpomhitaj housegirl na ni ka ajli ya kukusaidia na mtoto,Hata mimi sijawahi elewa kazi ya housegirl, niseme tu ukweli
Labda hapo baadae nitakapo kua na kazi, familia na mengine
I think ni suala la organization na role distribution ndani tuu.
ni kweli kabisa huku ni kujiendekeza tu, kuna mtu yuko home full tym bt anataka housegirl, ni kitabia ambacho kinacost kwa kweliMie naona ni uvivu na kujiendekeza! Kuna wengine wana watoto I can
understand, ila uko wewe na mumeo tu ama wewe peke yako eti house
gal. kwa raha justification ipi?
Mie naona ni uvivu na kujiendekeza! Kuna wengine wana watoto I can
understand, ila uko wewe na mumeo tu ama wewe peke yako eti house
gal. kwa raha justification ipi?
Main reason kwangu mimi, ni kuwa na mtu wa kuangalia nyumba! Kwani kazi yangu inanitoa nje ya nyumba often (75%) of my time!
...pamoja na hayo unahitaji kuwa naye?
mimi ni mwanaume lakini ninaposikia wanaume wanaacha wake zao wanatembea na mahouse girl hua siwaelewi na nitakua nawadharau siku zote...SHAME ON THEM!!:angry:
Yes; ndiye anayeangalia/kulinda nyumba! Alternative yake, niweke Mlinzi wa mchana na usiku which l can not afford!
Mama kama unataka ndoa yako idumu na mume wako akupende sana, kama una haousegirl jitahd kumkabidhi mzee atembee nae huko huko ndani,na usimnyanyase kwa kuwa ni mke mwenzio wa ukweli, mume atakupenda na utakuwa mwanamke a pekee. Mume atakuwa nawah kurudi nyumbani na kingine mshauri aongeze mke muwe wawili watatu ili usijisahau na usiwe na wivu kwa sababu wivu kwa mwanamke hauruhusiwi wivu ni kwa wanaume tu. ( si maneno yangu hayo wanajamvi ni maneno ya bwana anayejiita NABII TITO ameyaandika kwenye kijipamphlet chenye title KUNYWA POMBE NA KUZAA NA HOUSEGIRL SIO DHAMBI KABISA.)
TENA SIO HOUSEGIRL MMOJA.... sometimes wanakua hata na wawili, shamba boy, mlinzi nkYote anayofanya "housegirl" nayafanya mimi mwenyewe.
Kama shida ni mtu wa kuangalia mtoto, well, nampeleka daycare/preschool.
Sasa unakuta wengine hata hawana watoto lakini wana "housegirl". Really?
Sijawahi kuajiri "housegirl" na sitakuja kuajiri "housegirl".
..Na kuna wengine kazi zao zinawafanya wachoke sana kiasi ambacho wakirudi nyumbani wanahitaji msaada wa hapa na pale lakini wengine ndio inakuwa basi tena wanasahau wajibu wao kila kitu kuanzia J'tatu hadi J'pili wanamuachia HG.
B wengine hata chumbani wanafanyiwa usafi na kutandikiwa kitanda uvivu uliozidi
Ni kweli kabisa B...njemba mmoja alikuwa anatandua kitanda kila kinapotandikwa na HG mpaka mke akaelewa somo.
Kwa wale wenye watoto wanawaachia HG kwa kila kitu yeye kazi yake kumbebe mara 1
Kumuhudumia wala anaita HG kweli huwa haipendezi mwanaume anaangalia hayo yote ndipo aunachanganya na zake
Kwa wale wenye watoto wanawaachia HG kwa kila kitu yeye kazi yake kumbebe mara 1
Kumuhudumia wala anaita HG kweli huwa haipendezi mwanaume anaangalia hayo yote ndipo aunachanganya na zake
Kaunga sijahalalisha cheating ninachosema baadhi ya wanawake waache uvivu kutaka kufanyiwa kila kitu wakati mwingine jishughulishe kuliko kijipweteka unaletewa chakula mkononiBW
Acha kuhalalisha cheating ya wanaume bwana; hivi hawa wanaume wa kitanzania wanaojifanya kuwahurumia HGs, why don't they wahurumia na wake zao? Mume gani anamsaidia mkewe japo weekend kulea/kuangalia watoto?
Sisemi kuwa HG ndio afanye kila kitu, lkn mwanamume hana moral justification ya kutembea na HG kisa katandika kitanda.
BAK
Huyo jamaa yako aliyekuwa anavurugua kitanda; kama ana mikono na nguvu ya kuvurugua; kwanini asitumie resources hizo hizo kutandika?
Kwa wale wenye watoto wanawaachia HG kwa kila kitu yeye kazi yake kumbebe mara 1.....mwanaume anaangalia hayo yote ndipo aunachanganya na zake
BW
Acha kuhalalisha cheating ya wanaume bwana; hivi hawa wanaume wa kitanzania wanaojifanya kuwahurumia HGs, why don't they wahurumia na wake zao? Mume gani anamsaidia mkewe japo weekend kulea/kuangalia watoto?
Sisemi kuwa HG ndio afanye kila kitu, lkn mwanamume hana moral justification ya kutembea na HG kisa katandika kitanda.
BAK
Huyo jamaa yako aliyekuwa anavurugua kitanda; kama ana mikono na nguvu ya kuvurugua; kwanini asitumie resources hizo hizo kutandika?
Hapo ndipo unapowapa justification wanaume kwa maneno yako, 'kuchanganya na zao'
To me; mwanaume alipaswa kumsaidia mkewe; na si kumuacha ahangaike na mishughuli ya mchana kutwa, akisuburi na ya usiku na bado kuamka na kum-nurse mtoto au kumbembeleza akiwa analia!
Try to understand wanawake kama unavyojitahidi kuwa understand wanaume; hapo ndipo utaweza washauri kuhusu habari ya kuwajibika na kutreat maHG vizuri!