Neutral Figure
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 537
- 201
Wadau, kuna taarifa kuwa mitaa ya Mbezi Beach- Goig kuna housegirl amechinjwa. Hiyo nyumba huwa wanaishi wasomali...mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze
Ee Mungu tunusuruWadau, kuna taarifa kuwa mitaa ya Mbezi Beach- Goig kuna housegirl amechinjwa. Hiyo nyumba huwa wanaishi wasomali...mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze
Inawezekana amechinjwa lakini hajafa. Acha kukurupuka, thibitisha taarifa kabla ya kusambaza kwa umma.Wadau, kuna taarifa kuwa mitaa ya Mbezi Beach- Goig kuna housegirl amechinjwa. Hiyo nyumba huwa wanaishi wasomali...mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze
Wewe akilizako finyu sana...kwanza nani kasema amekufa?? kwahiyo kama amechinjwa na hajafa, hiyo taarifa aipaswi kuwa reported hapa? Au hapa tunareport taarifa za matukio ya mauaji tu? Sidhani kama wewe uko sawa 'upstairs'Inawezekana amechinjwa lakini hajafa. Acha kukurupuka, thibitisha taarifa kabla ya kusambaza kwa umma.
Wadau, kuna taarifa kuwa mitaa ya Mbezi Beach- Goig kuna housegirl amechinjwa. Hiyo nyumba huwa wanaishi wasomali...mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze
Sasa 'finyu' nani kati ya mimi na wewe? Hiyo ni taarifa au TETESI? Chuo gani kimekufundisha "reporting" ya taarifa ambazo ata wewe mwenyewe huna imani navyo? Unataka watu wakusifie kuwa wa mwanzo kushindwa kutoa taarifa iliyokamilika? Visimu vyenu vinawadanganya sana.Wewe akilizako finyu sana...kwanza nani kasema amekufa?? kwahiyo kama amechinjwa na hajafa, hiyo taarifa aipaswi kuwa reported hapa? Au hapa tunareport taarifa za matukio ya mauaji tu? Sidhani kama wewe uko sawa 'upstairs'
Umeulizwa swali....kwahiyo akichinjwa (bila kufa) hiyo taarifa haipaswi kuwa reported?Sasa 'finyu' nani kati ya mimi na wewe? Hiyo ni taarifa au TETESI? Chuo gani kimekufundisha "reporting" ya taarifa ambazo ata wewe mwenyewe huna imani navyo? Unataka watu wakusifie kuwa wa mwanzo kushindwa kutoa taarifa iliyokamilika? Visimu vyenu vinawadanganya sana.
Thinking is inborn, but a learned skill.
Hiyo siyo taarifa, bali ni tetesi. Mtoa uzi ameuliza mtandaoni badala ya kwenda kuuliza mashuhuda na mamlaka.Umeulizwa swali....kwahiyo akichinjwa (bila kufa) hiyo taarifa haipaswi kuwa reported?
Kwani kuchinjwa ni kufanywaje? Walipotabgaza watu walichinjwa Tanga wewe ulielewa nini? Acheni hizo. Kuchinjwa ni kuuliwa. La sivyo. Sema amekatwa mapanga au majambia.Wewe akilizako finyu sana...kwanza nani kasema amekufa?? kwahiyo kama amechinjwa na hajafa, hiyo taarifa aipaswi kuwa reported hapa? Au hapa tunareport taarifa za matukio ya mauaji tu? Sidhani kama wewe uko sawa 'upstairs'