Inategemea mazingira. Mimi wa kwangu nilimuacha aendelee kukaa mpaka atakapojiskia ilimradi asijifungulie kwangu. Niliona nikimtimua nitamuongezea mzigo wa stress. Akiwa na ujauzito wa miezi minne nikapata mwingine, nikawa nawalipa wote. Aliondoka alipofikisha miezi nane na nilijitahidi kumnunulia mahitaji ya kuanzia. Baada ya mwaka na nusu akaomba kurudi. Nami kwa kukumbuka uchapakazi wake na maisha ya kijijini nikamkubalia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.