House girl (picha)

ni katika hali ya kutumia fursa vizuri tu sasa mnawabanaaaa hata siku moja wkend hawatoki ndani ya mageti tu

Haha mkuu imebidi nicheke tuu, wakwako huwa unamwachia atumie fursa zake ?
 
Msamehe tu mkuu,nae ni kama mwanao tu,sasa angefanya hivyo mwanao mkuu ungepiga picha kuja kumuanika huku? take it easy mwabie madhara ya alichofanya na hupendi siku nyingine itokee,atakuelewa
Unadhani wanaelewaga hawa!
 
Kaamua kuua ndege wawili kwa jiwe 1. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahaa vijana wakware wamemtifua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…