House girl kutoka Iringa

House girl kutoka Iringa

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,943
Reaction score
9,457
Jamaa aliagiza house girl akaletewa kutoka Iringa kufika nyumbani akawa anafundishwa mazingira siku moja Baba mwenye nyumba alipo maliza kula chakula cha mchana akawa anatafuta Toothpick akawa hazioni akauliza hivi humu ndani toothpick mnazila??mbona juzi tu nimeleta nyingi zimeisha mara hii??House girl akajitetea"BABA MIMI NIKITUMIA HUWAGA NARUDISHIA KWENYE KACHUPA KAKE!ILA WAAKINA SELE NA JOHN WAO WAKITUMIAGA WANATUPA!!"Saa nyingine naokotaga walivyovitupa narudishia ndo maana hata hizi ulizotumia umezikuta!!!!
 
Sijui tutamuenzi kwa lipi hayati Mwalimu Nyerere maana Ufisadi ndo huo meshika kasi, udharimu kwa wananchi nao haushikiki, Ukabila nao unaonekana kurudi licha ya kufanya juhudi za makusudi kuuondoa.... MWALIMU MBONA WATU WAKO HAWAKUENZI KWA YAKO MAZURI ULIYOTUACHIA!!!
 
huu si utani jamani? labda wa-Iringa ni watani zake................ take it as a joke my dear
 
Sijui tutamuenzi kwa lipi hayati Mwalimu Nyerere maana Ufisadi ndo huo meshika kasi, udharimu kwa wananchi nao haushikiki, Ukabila nao unaonekana kurudi licha ya kufanya juhudi za makusudi kuuondoa.... MWALIMU MBONA WATU WAKO HAWAKUENZI KWA YAKO MAZURI ULIYOTUACHIA!!!

Kaka huu siyo ukabila bali ni utani tu. Mwalimu aliwahi kusema kuwa waTZ hatuulizani kabila ili tubaguane bali ili tutaniane.
 
Sijui tutamuenzi kwa lipi hayati Mwalimu Nyerere maana Ufisadi ndo huo meshika kasi, udharimu kwa wananchi nao haushikiki, Ukabila nao unaonekana kurudi licha ya kufanya juhudi za makusudi kuuondoa.... MWALIMU MBONA WATU WAKO HAWAKUENZI KWA YAKO MAZURI ULIYOTUACHIA!!!

Mkuu inaoneka na hata hujui uko kwenye jukwaa gani!!!!
 
Sijui tutamuenzi kwa lipi hayati Mwalimu Nyerere maana Ufisadi ndo huo meshika kasi, udharimu kwa wananchi nao haushikiki, Ukabila nao unaonekana kurudi licha ya kufanya juhudi za makusudi kuuondoa.... MWALIMU MBONA WATU WAKO HAWAKUENZI KWA YAKO MAZURI ULIYOTUACHIA!!!
We ni kabila gani?? Iringa kuna watani zetu.
 
Umejuaje kuwa huyo hausigeli ni kutoka Iringa? hi ni stereotyping!!
 
Back
Top Bottom