House girl katisha sana

Hivi karibuni tu mwingine kwangu kaweka sufuria la aluminium ndani ya microwave. Ulinishtua moshi balaa!

Tunapasa kuwelimisha vema na kwa ukaribu hadi wanapopata uzoefu.
 
kama hukumpa semina elekezi unategemea nn?
 
Waelimishwe vya kutosha wengi waelewa ila ugeni unasumbua...Msisahau kuwalipa haki za na kuwapa likizo
 
Nyie C Mnapenda Wakutoka Bush Madhara Yake Ndo Hayo Atachemsha Hadi Juic Ya Matunda Kwenye Jiko
 
Semina ni muhimu sana kwani hakuna anayezaliwa akijua kila kitu ipo siku ataambiwa akalale na mtoto kitandani yeye atafanya majanga
 
Kuna wengine huwa wanahangaika kuangalia TV jikoni kumbe ni microwave
 
Santee faida iliyoje kwa mama mwenye nyumba
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…