Ndalahwa Robert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 51 Reaction score 5 Jun 21, 2014 #1 Natafuta house girl wa kupika, kufanya usafi. Awe na mahali pa kuishi kwani kwangu atakuwa anakuja kufanyakazi, muda wa kazi ukiisha anarudi nyumbani kwake/kwao. Kwa taarifa zaidi tuma rndalahwa@gmail.com au piga simu +255 683 331311
Natafuta house girl wa kupika, kufanya usafi. Awe na mahali pa kuishi kwani kwangu atakuwa anakuja kufanyakazi, muda wa kazi ukiisha anarudi nyumbani kwake/kwao. Kwa taarifa zaidi tuma rndalahwa@gmail.com au piga simu +255 683 331311
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,891 Reaction score 5,063 Jun 21, 2014 #2 Weka na mshahara ni ela ngap alaf useme unakaish wap?
MBEBA MAONO KAJA JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 365 Reaction score 195 Jun 22, 2014 #3 mkuu tafadhali weka Qualifications, salary scale pamoja na fringe benefits. Job description?????
yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Jun 22, 2014 #4 unakaa wapi sasa??....