House girl anahitajika

House girl anahitajika

Kwisense

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
475
Reaction score
1,142
House girl anahitajika, mwajiri na eneo la kazi ni Dar es Salaam.

Sifa za aina msichana anaehitajika;

~Awe na tabia nzuri na atokee kwenye familia inayoeleweka
~Awe na umri kuanzia miaka 19 hadi 26
~Akubali kufanya kazi na watu wenye imani tofauti na yeye
~Mshahara ni makubaliano

Kama una connection njoo private chemba..!
 
House girl anahitajika, mwajiri na eneo la kazi ni Dar es Salaam.

Sifa za aina msichana anaehitajika;
Habari, mimi ni binti mwenye umri wa miaka 22 na niko tayari kufanya kazi zozote za ndani. Mimi ni mkazi wa jiji la Daresalam na form six graduate. Ni matumaini yangu kuwa litakubaliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom