House for sale in mwanza

House for sale in mwanza

Xidian

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
503
Reaction score
149
with surveyed areas
Ikiwa na Hati ya kiwanja (title deed) tangu mwaka 2011.
4 bed-rooms with 2single bedrooms and 2Master bedroom(self contained)
wide and sufficient Dinning room
Big Sitting room
big library and Computer room
kitchen room
Public toilet
Location:Magu mjini-Mwanza

eneo ni kubwa sana na waweza jenga nyumba kubwa tu nyingine.

BEI: MILLION 22 TU
 
in a far view point 267810_10151559578253646_1782380633_n.jpg267810_10151559578253646_1782380633_n.jpg
 
Unafanya utani, si ndio? JAribu kuwa serious, hiyo nyumba ina tatizo gani hadi iuzwe bei hiyo?
 
kweli kaka, yaani gharama tu za kufatilia hati ya kiwanja ilikuwa ni zaidi ya milioni 2 maana eneo lile wakazi wengi hawakuwa radhi kupima kwa hiyo nilifanya hiyo kazi peke yangu
Unafanya utani, si ndio? JAribu kuwa serious, hiyo nyumba ina tatizo gani hadi iuzwe bei hiyo?
 
Nyumba hii bei ya kutupwa kabisa mpaka inatia shaka
 
ondoa shaka kaka, hiyo nyumba haiuzwi na dalali bali muuzaji ndio mwenyewe. kinachotakiwa hapo ni kurudisha tu walau gharama yake.
Nyumba hii bei ya kutupwa kabisa mpaka inatia shaka
 
Mwana mie magu napajua, unaweza sema ipo mitaa gani?, na pia hiyo nyumba halipo ilishakamilika au kuna baadhi (yaan finishing) ya sehemu hazijaisha?. Hebu nipe details kidogo nione kama tunaweza fanya biashara mkubwa.
 
Nyumba iko located karibu na hospitali ya wilaya Magu. Ni suala la wazi kabisa kuwa finishing haijamalizika, nadhani ingeuwa imemalizika wala usingeona bei ya kutupwa kama hiyo. kama unahitaji maelezo zaidi basi usisite kuni-PM ili tuongee zaidi. Kama uko karibu na maeneo hayo si mabya kama ukienda na kuiona na ninakuhakikishia kuwa huwezi kujuta ukifika kwenye hiyo nyumba maana ni ya kisasa kabisa, mjengo mzuri sana, eneo lenyewe ni majengo mapya yaliyojengeka sana.
Mwana mie magu napajua, unaweza sema ipo mitaa gani?, na pia hiyo nyumba halipo ilishakamilika au kuna baadhi (yaan finishing) ya sehemu hazijaisha?. Hebu nipe details kidogo nione kama tunaweza fanya biashara mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom