fastening two pieces of metal together by softening with heat and applying pressure
welding ni zile drill za milango na madirisha.kaa mkao mzuri tuongee biashara
Tuachane na hilo mkuu!utata uko wapi tena mkuu??
Tuachane na hilo mkuu!
kwanini unaiuza bei chini kama hiyo?
Nyumba ni nzuri,ngoja nijipange ili niinunue!Nimeshindwa kuimalizia mkuu, na uwezo wangu ndio umeishia hapo, kwa hiyo naona kama nitaendelea kupoteza tu mda wakati mamabo yote hayajakaa sawa kabisa. bora tu niiuze ili nijipange/ nitoke kivingine.
kama kweli kuna mtu yuko serious hawezi kuiachia nyumba kama hii
Sawa mkuu,tupo pamoja!poa usisite kuwasiliana nami popote penye uhitaji.
Unafanya utani, si ndio? JAribu kuwa serious, hiyo nyumba ina tatizo gani hadi iuzwe bei hiyo?
Mkuu wewe ulitaka uuziwe ngapi ?
Basi nipe mimi 100m tampa mwenye nyumba 22m nibaki na 78m...
Unajua bei inategemea mambo mengi ; mwenye mali ana shida na cash ya haraka haraka, location na value za nyumba sehemu husika.., kwahio demand na supply kwa wakati huo ndio inaweza kudetermine bei na sio vinginevyo cha maana sio kuogopa bei wewe nenda kaiangalie uone kama inakufaa.
Hivi kuna umbali gani kutoka Mwanza mjini mpaka Magu, sijawahi fika pande hiyo. Ila hiyo nyumba bei yake nzuri, yaani ni less than $15,000.00 nimeipenda!.4 Bdrm House for sale in Mwanza with Title deed