House4Sale House for sale at Kibaha Mlandizi

Wilaya za mkoa wa pwani ni Bagamoyo, Kibaha, Mkuranga, Kisarawe, Mafia, Kibiti na Rufiji

Masahihisho:

Kuna Wilaya ya Kibaha Mjini(kuanzia Maili moja hadi Misugusugu, kama sijakosea)

Pia kuna Wilaya ya Kibaha Vijijini(inaanzia inapoishia Kibaha Mjini hadi huko Ruvu)

Mlandizi ndio ipo Kibaha Vijijini
 
Haujakosea ,kibaha mjini lakini inaishia kongowe
 
Masahihisho:

Kuna Wilaya ya Kibaha Mjini(kuanzia Maili moja hadi Misugusugu, kama sijakosea)

Pia kuna Wilaya ya Kibaha Vijijini(inaanzia inapoishia Kibaha Mjini hadi huko Ruvu)

Mlandizi ndio ipo Kibaha Vijijini
Acha uongo hakuna kitu kinachoitwa wilaya ya kibaha mjini ndugu ,

WILAYA NI MOJA TU ILA HALMASHAURI NDIO MBILI .

WILAYA YA KIBAHA

* Halmashauri ya kibaha mjini na
*Halmashauri ya wilaya ya kibaha vijijini

Kibaha mjini inaanzia mpakani na kuishia Visiga - miwaleni ,,

Kibaha vijijini inaanzia kata ya mlandizi eneo linaitwa msufini

Hata wewe muuza nyumba pia huelewi Kilangalanga ni kata tofauti na mlandizi
 
Kwaiyo chief kilangalanga ipo kata gani kwa mtu asiyejua
 
Chief mbona hueleweki kibaha na mlandizi ni maeneo mawili tofauti hayo ujue sasa unaposema kibaha mlandizi unamaanisha nn
Sema tu nyumba iko mlandizi mbona unazunguka sana dalali......

Mlandizi na kibaha sio jirani hivyo lugha ya biashara umetumia ......HAYA JAMAANI WANUNUZI HII NYUMBA IPO MLANDIZI SIO KIBAHA MLANDIZI KULE MWISHO KABISA......

HAKUNA MTAA UNAITWA KIBAHA MLANDIZI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom