Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
hahahahaha! We nae umekurupuka! Ivuga kaomba kuwa h'boy wangu, sasa hayo mengine yanakujaje?? Anakuja kufanya kazi tu na sio kama unavyofikiria wewe.
Safi sana! Endelea kuzichanga siku mupenzi akirudi, akute umenunua japo kitanda!...lolnangoja , afro d yuko masomoni na haruudi sasa hivi ndio maana nimeamua kutengeneza pesa kwa njia hii
Mke wangu chondechonde nitafua mwenyewe hizo nguo! Haijalishi anakuja kufanya kazi! lakini siwezi kkubali afanye kwa kipenzi changu Sl!!!!!!! Jamani swt mi nitalia!!!
Sweetlad huyo ivuga anataka mtu ambae ni mjane au hajaolewa! Sasa we ni mke wangu halali wa ndoa!! iweje ufikirie kumpa kibarua na kumsifia?
sa ndo nini kunifukuzia ndege wangu? Mi nshamwambia Ivuga nimeachika na ndo mana akavutiwa kuja kufanya kazi na mimi, acha hzo bana! Ivuga usimsikilize, nafasi yako bado ipo!
Sweetlad huyo ivuga anataka mtu ambae ni mjane au hajaolewa! Sasa we ni mke wangu halali wa ndoa!! iweje ufikirie kumpa kibarua na kumsifia?
sijamsifia bana ila ameniletea CV yake nkaona atanifaa. We si 2lishaachana???
Hahahaha! Mpaka hapo umepita kwa 100% chukua mabegi yote njoo uanze kazi. Utayarudisha siku A'd akirudi masomoni.im inside already,mwezi wa kwanza sihitaji malipo
mawivu yanamuua, mimi nishasema im coming to your home kama house boy, yeye kinachomuuma ninini? mm kufua nguo zako laini na nyeupe? ina maana yeye hataki wewe kula good time?
Ha! Naenda kwa bb paroko! Au namshusha shipa ivuga au nakubadilisha jinsia! Siunajua kuleee kwa pm tz!
Hajiamini!haha hapa utakuwa unanionea aisee, kwa nini unachukia house boy? a kwa vile mke wako hafugi n'gombe
hahahaha, umemalizana bora tu ajifie zake. Mi nshakupitisha. Kama vip na yeye aende masomoni.
haha hapa utakuwa unanionea aisee, kwa nini unachukia house boy? a kwa vile mke wako hafugi n'gombe
Hapa hakuna nitakae muonea, nihaki bin haki tu! Kwanza ngoja niwasiliane na bibi kijijini aanze kazi yani nataka Ivuga ageuke kawe kabinti karembo ili na mim nirudishe heshima yangu kwa kukakata nyuzi mwenyewe!!
Mmmh nyuzi za 2011 unazifufua 2017 za nini sasa . kila Uzi huku ni wa 2011 aliyeufufua ni weweNgoja wanakuja mkuu
kuna kilichoharibika mahali labda? kuna sheria imekiukwa? zikiwa ni za 2011 au hata 2009,2010,2008,2007 na 2006 kama nafasi ya kutoa wazo ndio HAIRUHUSIWI AU?? Labda mimi mgeni huku JFMmmh nyuzi za 2011 unazifufua 2017 za nini sasa . kila Uzi huku ni wa 2011 aliyeufufua ni wewe