Hotuba za graduation kidato cha nne

Hotuba za graduation kidato cha nne

jbmukulu

Senior Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
122
Reaction score
84
Habari za humu...
Naombeni mnisaidie hotuba nzuri ya kutoa kwenye graduation ya kumaliza kidato cha nne. Hotuba ya mgeni rasmi.
Najua kuna wenye nazo
Asanteni
 
Mgeni rasmi anakuona unaulizia sample ya hotuba hapa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa hotuba huwa inaenda na Changamoto za eneo husika ina maana nikupe Hotuba ya Ubaruku Secondary School utumie huko shuleni kwako [emoji23] [emoji23] [emoji23].

Dah Tuna kazi tena sio haba.
 
Sasa hotuba huwa inaenda na Changamoto za eneo husika ina maana nikupe Hotuba ya Ubaruku Secondary School utumie huko shuleni kwako [emoji23] [emoji23] [emoji23].

Dah Tuna kazi tena sio haba.
Ukinipatia hiyo itakuwa poa..
Nitafanya editing iendane na mahitaji
 
Back
Top Bottom