Mkajojoe mlale.
Ujasoma kilichoandikwa umeropoka tuanatema ujinga tu
Na wewe umo kwenye hilo Kundi? basi Raisi wa Gambia ndio kaongea la Maana kuliko viongozi wote kama ndio kasema hayo
Na wewe ni kama Michael Scofield?
Anamtetea Mkenya kwa sababu anajua ana kesi kama hiyo ya kujibu!
Ujasoma kilichoandikwa umeropoka tu