hotuba ya rais wa nchi kuhusu michezo.

hotuba ya rais wa nchi kuhusu michezo.

katebhalila

Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
25
Reaction score
3
Nilitegemea rais Kikwete angeweza kujifunza mengi baada ya ujio wa Rais Obama.
Rais Obama anavutia kwa sababu yuko kwa ajili ya wamarekani. Anapoilizwa hujibu kwa staha bila mzaha, na akizingatia kwamba anafanya hivyo kwa niaba ya maslahi ya wote na si chama wala yeye binafsi.
Sasa rais wetu anaposema eti kama wametumwa, sijui kina nani, eti wakamwambie.
Rais kama hana la kusema si angenyamaza kuliko kuongea umbea wa maslahi ya wachache.
Nikikerwa na hotuba yake.
 
inawezekana ile hotuba imekuchoma na wewe ndio unayetumwa tumwa na ndio mfanya vurugu
 
ile hotuba ya rais ilikuwa murwa sana. ameisema kwa wakati muafaka kabisa
 
Back
Top Bottom