Hotuba ya Rais Magufuli

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Nimesikiliza hotuba ya Rais Magufuli. Ni nzuri anyway, amesema nchi hii ilikuwa shamba la bibi, hovyo kabisa, ilikuwa na mambo ya hovyo kabisa. Bilioni 400 pale TCRA zimepotea.

Akahitimisha kuwa kama hatayafanya haya, hakuna haja ya kumuita Rais, afadhali aende nyumbani apumzike. Ni kauli nzuri ya matumaini.

Fine, LAKINI Mheshimiwa, nani aliyesababisha haya yote? Unamjua, tunamjua. Naye umtumbue usimuonee aibu, ni mhalifu. Yalifanyika anajua fika lakini akayalea na kuyalinda.

Nawasilisha!
 
Umeongea ukweli ambao kuna watu hawataki kuusikia, kama ni kutumbua majipu kusiwe na double standard, ianzie ofisi kuu hadi chini mashinani
 
Back
Top Bottom