Hotuba ya rais Kikwete mwisho wa mwezi Machi

Anasisitiza tuwe wazalendo...lakini je watendaji wake wana huo uzalendo anaousema..asimamie hilo kwanza hata wananchi wakawaida nasi tutaona thamani yakua wazalendo.
 
Je yeye ana uzalendo. Mwanae anasemekana kujilimbikiza mali, je hiyo pesa anatoa wapi kama siyo kuila nchi? Yeye hajui kwa nini watanzania ni masikini, na hajui wamiliki wa Dowans wanaokula nchi. Ni uzalendo gani alionao. Ni nini tujifunze kwake??
 
kaongea nini cha maana? maana ndo nimetoka bafuni kuoga naona wanapiga wimbo wa TAIFA tbc

chamsingi kasema tuwe tunachukua risiti tunaponunua bidhaa ili wafanya biashara walipe kodi inavyopaswa, imekaa vizuri ila na wasiwasi tunaweza 2kawa tunamkusanyia RA.
 
Haongei ila anasoma flipcharts kwa shida sana na kigugumizi kingi sana.....halafu wamerekodi....he is amusing very well indeed

JK anapoteza confidence kabisa...yaani alikuwa anaonekana kabisa anatetemeka..........
 
Naona ana-summarize maagizo aliyoyatoa kwenye ziara zake katika wizara mbalimbali.

Sasa sijui anafikiri tumesahau aliyoyaagiza, au hakuwa na la kusema leo. Mimi sijui naona hata yeye hajui. Maana jamaa ni bingwa wa kutojua,

kwa nini sisi masikini hajui
kwa nini nchi yetu ina malighafi nyingi lakini haina viwanda hajui,
kwa nini form four wamefeli sana, hajui,
kwa nini bei ya bidhaa inapanda hajui,
kwa nini bei ya mafuta inazidi kupaa hajui,
kwa nini thamani ya shilingi inashuka, hajui.
Kwa nini ufisadi umetamalaki, hajui

Angejua angetafuta solutions, huyu uchumi alidesa.
tushukuru kuwa haya mambo anayajua ...sasa angekuwa hayajui sijui ingekuwaje
 
nilipoangalia mwanzoni uso wake haukuwa sasa, HALI YAKE SIO NZURI:disapointed::disapointed:

kweli mwenyew nimeliona hilo, kwa kweli changamoto za kisiasa na kiuchumi zilizopo nchini zinamzidi huwezo.Japo katuangamiza ila anaitaji maombi ye2 huyu mh. msisite kumuombea.
 
hivi rais mzima unaweza ukahiza wananchi kuchukua risiti?kamisha tra anafanya nini?afisa biashara kazi yao nini siku hizi?hajui kuwa uzembe,ukiritimba wa TRA ndio unawakatisha tamaa wananchi kulipa kodi wafanyakazi wa tra wana majibu ya mkato hovyo sana
 
Ndio hapo sasa. Ukisikia mpaka Rais anahimiza watu wachukue risiti, jua hali mbaya. Hata ukidai risiti haina maana b'se watu wana vitabu viwili vya risiti. Moja halali, kingine feki.
 
hivi degree ya uchumi ya prezidaa ni tofauti na hizi walizopata wengine au ni nini?
Coz sijawahi kuona kilaza wa basic economics kama yeye
 
Naona ana-summarize maagizo aliyoyatoa kwenye ziara zake katika wizara mbalimbali.

Sasa sijui anafikiri tumesahau aliyoyaagiza, au hakuwa na la kusema leo. Mimi sijui naona hata yeye hajui. Maana jamaa ni bingwa wa kutojua,

kwa nini sisi masikini hajui
kwa nini nchi yetu ina malighafi nyingi lakini haina viwanda hajui,
kwa nini form four wamefeli sana, hajui,
kwa nini bei ya bidhaa inapanda hajui,
kwa nini bei ya mafuta inazidi kupaa hajui,
kwa nini thamani ya shilingi inashuka, hajui.
Kwa nini ufisadi umetamalaki, hajui

Angejua angetafuta solutions, huyu uchumi alidesa.

Pumba hizo
 
Anasisitiza tuwe wazalendo...lakini je watendaji wake wana huo uzalendo anaousema..asimamie hilo kwanza hata wananchi wakawaida nasi tutaona thamani yakua wazalendo.

Kwa hiyo uzalendo wako unategemea watendaji wa serikali? unashangaza sana!
 
Je yeye ana uzalendo. Mwanae anasemekana kujilimbikiza mali, je hiyo pesa anatoa wapi kama siyo kuila nchi? Yeye hajui kwa nini watanzania ni masikini, na hajui wamiliki wa Dowans wanaokula nchi. Ni uzalendo gani alionao. Ni nini tujifunze kwake??

Kwa hiyo kwa kuwa ni mtoto wa Kikwete basi haramu kufanya kazi na au biashara na kujilimbikizia mali? Ungetuambia kaiba na ukaleta ushahidi hapo tungekuelewa.
 
Hajui kama anaongoza pia "GREAT THINKERS" ambao kila kitu wana-challenge!!!!!!!! aaaaaahh! KAAZI KWELI KWELI.
Hivi kweli eeeh? Una maana kwamba wao hata akifanya jema hawaoni kwa vile ni Great Thinkers??
 
chamsingi kasema tuwe tunachukua risiti tunaponunua bidhaa ili wafanya biashara walipe kodi inavyopaswa, imekaa vizuri ila na wasiwasi tunaweza 2kawa tunamkusanyia RA.

Duhh, huna la kusema?
 
sijawahi msikia akizungumzia unemployment rate in tanzania kwa data za miaka tofauti!
 
Back
Top Bottom