Kikwete ahsante sana.
Sasa ondokeni mkafanye kazi zenu za private au mrudi kazini, uamuzi ni wenu, na huko mahospitali tutaanza kuwawekea tathmini ya kujuwa ni nani anaefanya kazi na anastahili kulipwa na nani asiyefanya. Mnalo?
Usichanganye mada. Kama unaweza fanya kazi kama huwezi acha, nenda utakapopata zaidi waachie wengine watakaoona zinawafaa wachukuwe hizo kazi.
Kama wanaona Ubunge unalipa zaidi si waende wakagombee Ubunge? mbona wapo pale wengi walioacha kutibu, nani aliwazuia? au huwajui kina Kigwangallah?
angekataa asiingie kwene majadiliano bado mngelaumu"Yeye hakuwa mtumishi wa serikali hivyo hakustahili kuwa sehemu ya majadiliano hayo" Hapa alitakiwa aongeze "...ndio maana tukaamua kumu eliminate kabisa ili MAT wakose nguvu"