Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,662
Kwani na wewe hujui hivyo vita kama vilikuwa vya kumsaidia Milton Obote ili arudi madarakani?Mwaka 1979 huyo rafiki yako Muammar Qaddafi alipomsaidia Nduli Idd Amin askari pamoja na siraha za kivita kupiga Tanzania nina imani ulikuwa haujazaliwa.