Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Wakuu salaam sana! Taratibu zilionyesha kuwa kila mwisho wa mwezi JK analihutubia Taifa. Miezi kadhaa cjaona hicho kitu, what went wrong? Was it JUST KIDDING(JK) as I saw from his FB pages?
Wakuu salaam sana! Taratibu zilionyesha kuwa kila mwisho wa mwezi JK analihutubia Taifa. Miezi kadhaa cjaona hicho kitu, what went wrong? Was it JUST KIDDING(JK) as I saw from his FB pages?
Hotuba leo ipo mkuu! Soon anatoa na kutokana na urasimu wa Mod, nitawawekeeni hotuba hiyo kwenye jukwaa la habari mchanganyiko na sio hapa maana Mod hakawii kuilaza hadi kesho.
rais yuko likizo!
hana kipya cha kuwadanganya watanzania. Alisema uongo wote hadi akaishiwa kabisaaa.