Kwani maswali yanayoulizwa na wabunge si yanapelekwa serikali na kuka huko hata miezi mitatu yakitafutiwa majibu!!!!????!!! Sasa ilikuwa hili lisitafutiwe majibu ya kina mpaka uhitajike muda wa ziada? Au ndio mkakati wa kufunika kombe utakuwa unafanyika katika kipindi hicho cha muda wa ziada??"Hili swali lililoulizwa na Dk Slaa ni zito, inabidi serikali ipate muda wa kuandaa majibu ya kutosha, kwa hiyo naliahirisha hadi Jumatatu liweze kujibiwa," alisema.
Hivi wabunge wengine wanafanya nini huko bungeni? mbona mpiganaji dhidi ya Deep green na Tan gold ni Dr. Slaa peke yake miaka yote? Hongera kamanda, endelea tupo nyuma yako, 2010 gombea tukupe nchi.
Wabunge wengine wako Bungeni kwa ajili ya posho tu na sio kwa maslai ya majimbo yao na nchi kwa ujumla.