Hotuba ya dhihaka!

Nawapa pole sana wahanga wote wa maafa yaliyotokea gongo la mboto
thank you for this post( mwandishi).

nasikitishwa sana na jinsi binaadamu tulivyoamua kuwa wanyama tunapoamua kutumia nafasi za maafa kama hivi kuongeza majeraha kwa waathirika wa mabomu, hapa naongelea vibaka waliovamia mali za watu.
 
Wakuu kama kuna zile ripoti ya matukio ya Mbagala hasa kauli za viongozi ripoti ya tume maoni ya watu tukumbushane kama zipo tuweze kufanya ulinganisho na hili la sasa. Tumeshaadabishwa na maisha kisha tunaongezewa maumivu. Peoples power naomba ichukue nafasi, kwingineko htutoweza kupata haki zetu. wake up!!!!!!!!
 
Hii ndiyo aina ya viongozi watanzania wanawahitaji, kwenye kupiga kura hawataki kufanya maamuzi sahihi, kazi kwenu. MNAHITAJI MAOMBEZI
 
ninamwomba asijaribu kulipa kifutajasho au fidia bila kuomba bunge lijadili hizo hela.kwani uzembe umefanyika hayo mabomu yaliyolipuka ni hasara kwa walipa kodi.waliofariki na kuumia ni watanzania wenzetu ambao ndio wenye hayo mabomu,hizo hela za kulipia fidia ni za kwao, na bunge ni lao kwa hiyo tunataka utueleze ni wangapi wamewajibika au kuwajibishwa?kama hamna tujue tutawawajibisha vipi kwani uwezo tunao.
:blah::blah::blah::hand:
 
Kwenye blue umechemsha, sema unampenda sana na siyo kusema tunakupenda. Hayo mapenzi ni ya kwako kwa huyu jamaa asiyejali maisha ya wanadamu wenzake.

Kwanza according to your analysis there is nothing good about kikwetes regime. It is even surprising to see that in the entire discussion you are saying bad about him and concluding good thing.

This means according to you we have a bad regime but good persons. Is that what u mean?
 
Tupo Pamoja kwenye yote lakini hapo pa kumpenda sana hapana...hapana hata kidogo!
 
swala la kikwete kupendwa kupendwa na wananchi asahau labda hao mapopompo wenzake. Jk ni janga la kitaifa, pasua kichwa. alipofikia sasa panatosha unasifia wauaji wa raia!!! This is beyond the tolerable.

if you cant tolarate, be the first to act. mi niliisha choka na comments zenu. kila siku siasa , mbona hamtuambii tufanye nini sisi walala hoi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…