nimesikia MwijageNani amesoma?? Je! Waziri husika aliachishwa yeye hajapongezwa??
Si ndio inasemekana alikuwa mwanasheria wa Tanesco..nimewaza tu je alisaini mikataba au alishauri nini kuhusu kuibiwa?KALEMANI
Hajawai kuwa mwanasheria wa TANESCO alikua mwanasheria wa Wizara, na mikataba hua inasainiwa na Waziri kwa kusimamiwa na Mwanasheria wa Serikali.Si ndio inasemekana alikuwa mwanasheria wa Tanesco..nimewaza tu je alisaini mikataba au alishauri nini kuhusu kuibiwa?
Huyo ni homboy haguswi kma wizara ya ujenzi ambayo wakuu wke ni malaika hajawahi kuizungumzia wkti ndio wizara mchwa kuliko zoteKALEMANI