mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Mkuu nenda mobile data angalia data tracking.Hawa halotel bhana wezi dizaini flani. Nikunga bandle la tigo au voda natumia vizuri hata week kwa GB1. Ila halotel ni siku tatu au nne kwenye simu inaisha.
Najiuliza ni matumizi gani yanayokuwa tofauti tu nikiwa na haloteli? Au hii ni Dar tu?
Acheni wizi nyie Halotel... ***
It works santee sana halotel wakulipe kwa hili umewwsaidia kupata mteja mida hii nimejiunga na kifurushi nilishatupilia mbali lineTatizo hapo ni settings katika simu na wala msiwalaumu halotel. Kama mnatumia iOs 9.3.2
1-Fungua Setting
2-Cellular
3- Cellular Data Options
3- Cellular Data Network
Pale kwenye Personal Hotspot jaza APN kuwa 'b_internet' kisha rudi mpaka menu kuu utaiona option ya Personal Hotspot.
That's all
It works santee sana halotel wakulipe kwa hili umewwsaidia kupata mteja mida hii nimejiunga na kifurushi nilishatupilia mbali line
Tatizo iko fasta sana, kwahvo ukiweka uki browse data zinatumika sanaaHawa halotel bhana wezi dizaini flani. Nikunga bandle la tigo au voda natumia vizuri hata week kwa GB1. Ila halotel ni siku tatu au nne kwenye simu inaisha.
Najiuliza ni matumizi gani yanayokuwa tofauti tu nikiwa na haloteli? Au hii ni Dar tu?
Acheni wizi nyie Halotel... ***
Kasi utofautianaHawa halotel bhana wezi dizaini flani. Nikunga bandle la tigo au voda natumia vizuri hata week kwa GB1. Ila halotel ni siku tatu au nne kwenye simu inaisha.
Najiuliza ni matumizi gani yanayokuwa tofauti tu nikiwa na haloteli? Au hii ni Dar tu?
Acheni wizi nyie Halotel... ***
Mbona kwangu nina access kabisa tena kwa kasi ya jabu, vipi umecheki password au haipati kabisa simu yakoWadau hivi simu yangu ndo setting haziko poa au coz nikiweka line ya halotel sipati hotspot ili kuweza kutumia net ya simu kwenye laptop, sijajua tatizo ni nini ila natumia iphone 5 au kwa iphone haikubali? Yeyote mwenye experience na hii kitu
Hao tigo ni mwendo wa Kobe, ndo maana bando lao haliishi harakaNimejaribu halotel na ni kweli speed yao iko vizuri sanaaa, kwa hilo wanastahili pongezi. Ila bado sijaelewa inakuaje MB kuisha kwa kasi sana tangu nianze kutumia halotel. Natumia line ya chuo na imetokea mara 3 GB 1 kuisha ndani ya masaa 16, kitu ambacho sio cha kawaida wakati matumizi ni ya kawaida sana, yani ku-browse, whatsapp, fb, jf na instagram tu. siku ya kwanza nkachkulia poa, kesho yake ikajirudia tena na siku iliyofuata tena. Nkaona huu utoto, nkarudi tigo juzi. Waangalie hilo kiukweli
HaiwezekaniHivi mtandao wa simu unaweza kubadili ufanyaji kazi wa simu?