Pole sana. Hiyo kuna watu wamedukua japo password unayo wewe tu. Badilisha password haraka sana. Mimi ilinitokea aisee ilikuwa balaa kwani walianza kutuma meseji za ajabu ajabu kwa watu waliokuwa kwenye contact zangu. Usiiangalie tu meseji zilizofutwa kagua pia na outbox yako.
ok thanks jamaa wameniacha hoi mi niko tz jana kurudi wiki moja nyuma watu kutoa usa,china na ukrine walikuwa wanajaribu kufungua email sijui inakuwaje mambo haya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.