Hoteli ya JB Belmont yafungwa rasmi kutokana na ukata

Man Mvua

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
2,183
3,521
Hali imeelendelea kuwa mbaya na kusababisha purchasing power miongoni mwa jamii kushuka na kupelekea baadhi ya biashara kufungwa.

Hotel kubwa jijini Mwanza katika jengo la NSSF katikati ya jiji la Mwanza nayo yafungwa rasmi.

Haya ndio yaliotokea mtaani kwangu sasa sijui mtaani kwako.
 
Hali imeelendelea kuwa mbaya na kusababisha purchasing power miongoni mwa jamii kushuka na kupelekea baadhi ya biashara kufungwa. Hotel kubwa jiji mwanza katika jengo la NSSF katikati ya jiji la Mwanza nayo yafungwa rasmi.Haya ndio yaliotokea mtaani kwangu sasa cjui mtaani kwako.
WAcha wafunge tu, kwa maana hamna namna. Kama kasi ya kufungwa kwa biashara ikiwa hivi, sijui watakusanyaje Kodi?
 
Hali imeelendelea kuwa mbaya na kusababisha purchasing power miongoni mwa jamii kushuka na kupelekea baadhi ya biashara kufungwa. Hotel kubwa jiji mwanza katika jengo la NSSF katikati ya jiji la Mwanza nayo yafungwa rasmi.Haya ndio yaliotokea mtaani kwangu sasa cjui mtaani kwako.
Hii JB Belmonte si za yule marehemu?!! Biashara zake nyingi zilianza kuzorota baada ya kifo chake.
 
Hali imeelendelea kuwa mbaya na kusababisha purchasing power miongoni mwa jamii kushuka na kupelekea baadhi ya biashara kufungwa. Hotel kubwa jiji mwanza katika jengo la NSSF katikati ya jiji la Mwanza nayo yafungwa rasmi.Haya ndio yaliotokea mtaani kwangu sasa cjui mtaani kwako.
Weka picha na wewe!!!!
 
Nilipita pale nikakuta kikaratasi kikionyesha kuwa imefungwa. Ndugu zanguni mikutano mingi likyokuwa inafanywa kwenye hizi hoteli kubwa ilikuwa ya taasisi, idara, miradi na programu za serikali. Rais alipotamka kuwa hakuna mikutano kufanyika kwenye mahoteli na badala yake ifanyike kwenye premises za serikali hali ya biashara ya hotel nyingi iligeuka ghafla kuwa mbaya. Si hii tu bali kuna uwezekano wa hoteli nyingi kubwa zikakosa mapato zikabakia na mapato ya accommodation tu.
Hii ina repercursion kwenye mapato ya TRA ingawaje serikali haijagundua hilo. Matamko ya rais yataendelea kuleta negative impact kwenye mambo mengi kwa sababu utafiti haukufanywa kabla ya kutoa matamko
 
JB Belmont iliyokuwa Benjamin Mkapa tower ilifungwa tokea 2015.
Nafikiri baada ya mmiliki kufa biashara ziliyumba. Sisi si Wahindi, sisi ni
Waswahili (japo alikuwa Mganda) biashara zetu "magumashi" na usiri mwingi. Ukifa na biashara inayumba.

Nawasifu Wahindi kwa ku-keep legacy za Wazazi wao hata kama kwenye biashara zao kuna uchafu.
Unakakuta kabinti ka kihindi chini ya maika 20 dukani, namna anavyoongea na Mteja kwa wale
Wakware wanafikiri kamawezimikia kumbe ni sales strategy.

Hawa wa kwetu "mshua" akiwa na pesa wanazunguka na bastola kwenye ma-club ya usiku na uzungu mwingii.
"Mshua" akifa ni hekaheka.
 
Kweli kabisa mkuuu
 
Back
Top Bottom