Hoteli ya ghorofa 8 ipo Kariakoo inauzwa

freemoney

Senior Member
May 21, 2012
109
6
habari wana JF

kuna hoteli ambayo ipo katika hali nzuri sana ipo kariakoo ina gorofa 8 na standby generator. bei ni dola million 3.5
 
Weka picha zake tuone eneo lake liko vipi na quality ya jengo lenyewe, iko mtaa gani, jina la hotel....sabab ya kuuza ?? fafanua zaidi nafkiri unanielewa !!! Usihofu sitokuzunguka hahaha
 
Nini? hiyo bei si nitanunua nyumba Ujerumani au USA tena kali sana. Au nitajenga hoteli kali sana sehemu yenye hadhi! Hapo Kariakoo ni muda tu, watu watakuwa wanaombea nyumba hata kwa bei ya kutupwa lakini watakosa wanunuzi.
 
Tupe hata jina la hotel hiyo maana bei ya $35,000,000 picha yake siipati
 
Nini? hiyo bei si nitanunua nyumba Ujerumani au USA tena kali sana. Au nitajenga hoteli kali sana sehemu yenye hadhi! Hapo Kariakoo ni muda tu, watu watakuwa wanaombea nyumba hata kwa bei ya kutupwa lakini watakosa wanunuzi.

Its 3.5M $ cio 35. your NOT serious wewe....Kariakoo viwanja havishuki bei hata siku moja....unasema hvyo sababu hujui biashara inavyo operate na turnover maeneo yale tafuta mtu anayejua akufunze vizuri !!!
 
Hivi hakuna ukumbi wa matangazo makubwa makubwa kama hili la $3.5mil?
 
Hahahaha mimi nina dili la kuuza gholofa 8 pale mitaa ya msimbazi 5bl. Sishangai hotel kuuzwa bei hiyo coz ni mule mule
 
3.5 Million Dollars=5,600,000,000/= Tshs ambayo ni sawa sawa na noti za elfu kumi kumi 560,000...noti moja ya elfu kumi ina sentimeta 13.5.......13.5*560,000=7,560,000cm ambayo ni sawa na 75.6kilometres ukizipanga moja moja...horizontally utazipanga mpaka bagamoyo na bado utabaki na chenchi,kutumia morogoro road utazipanga mpaka kibaha,na kurudi ukizipanga hadi kariakoo tena.....kama utazipanga vertically(lazima uzishikize na kitu kama kamba ili zisimame,na uzigundishe vizuri)...utajikuta upo Mesosphere ambako kuna baridi ya hatari,utakufa...mbaya zaidi hamna ngazi ya kufika huko...........mshahara tu nikiupanga unaishia mlangoni,pesa za watu wengine zinavuka hadi mikoa,kudadeki......hizi pesa za hiyo ghorofa zingekuwa na maboya,ukizikanyaga unafika mafia chaap na kurudi kwa ruti ingine
 
hahahahaha,,,, mkuu nmependa ulivyokokotoa na kuelezea
 
Back
Top Bottom